JK zungumzia haya kwenye hotuba yako ya mwisho wa mwezi July

nataka kwanza nimjibu salas rais ndiye mwenye jukumu lakujua jinsi yakutatatua tatizo la umeme kwanza anaweza kuamrisha makampuni kuwekeza tanzania napia kuwaeleza TRA kuwapunguzia kodi nakupata umeme kwabei nafuu,kuhusu ngeleje unaweza kueleza kafanya nini ktk utawala wake?wewe una mke akitembea nje ya ndoa unamsamee?ukiendelea naujinga huo nawewe utakuwa mke wamagharibi.
 
kwani wewe ni nani mpaka umjibie? Luhanjo au? Mimi ni mwajiri wake lazima nimuulize, na nadhani haya niliyomuuliza ndio mambo ya msingi yanayolisumbua taifa kwa sasa, wewe ndugu yetu labda gamba limekufunika macho na masikio huoni wala husikii, lakini ni vizuri tungepata ufafanuzi wa maswala haya.
 
"mzee ruksa alikaa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa alikaa miaka 10 hakuyamalza, mie (jk) miaka 5 hayajaisha na mingne 5 hayatakwisha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…