JK with the rock star BONO

JK with the rock star BONO

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
bono and jk.jpgmkuu wa kaya akiwa na superstar wa rock anayejihusisha na misaada kwa jamii ya kusini mwa jangwa la sahara.
 
omba omba kazini. nina hasira naye. aturudishie vijisenti vyetu alivyoweka uswisi.
 
' jaman hali ni mbaya hakuna plan B..hacpo tafuta mtakula nn wajamen?..kuwa matonya co zambi
 
Mnh, hivi kuna star gani kabaki? Yaani bila aibu tunaombaomba kila mahali kwa kila mtu!
 
Back
Top Bottom