JK warns 'Uamsho' faction

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

BY FLORIAN KAIJAGE

3rd June 2012

JKministers(5).jpg

President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete yesterday warned leaders of Zanzibar Islamic Revival Forum, the group accused of masterminding chaos in Unguja early this week, saying his government would use force to deter any threats and violence resulting from the faction's operations in the Isles.

"Much as the government doesn't relish taking severe action against its own citizens, nothing will stop the state from using force to contain those who are out to disrupt peace in our country," warned the President in his monthly address to the nation.

"I ask the leaders and members of Uamsho Forum to go back to their core business and shun their political agenda, as well as avoid statements that may divide Tanzanians along religious lines," the President said.

The head of state noted that Tanzanians have always lived like brothers, irrespective of their differences in race, ethnicity, religion and origin.

"What has gone so wrong that these are happening now? I call on those with views about the union, its structure or its administrative nature to utilise the opportunity provided during the collection of views on the new constitution. There is no need for rioting in order to deliver such views," Kikwete stressed.

President Kikwete, who was speaking out for the first time since the three-day long riots, which caused mayhem in Zanzibar municipality, said the group, calling itself Uamsho (Revival) was formed for the propagation of Islam, but of late its leaders had deviated from its primary objective to indulge in politics.

He told the nation that in the past the faction's leaders used to strongly criticise the Revolutionary Government of Zanzibar, however their criticisms became irrelevant after formation of the Government of National Unity towards the end of 2010.

Surprisingly, the President said, the criticisms resurfaced recently after the union constitutional review process was kick-started. He said this time around they have been harping on the union, uttering abusive words against the union founders and current leaders. The president said it was unacceptable for someone with divergent views on the union to exploit the situation to pillage and torch houses of worship, adding that this would never be tolerated.

"I concur with Zanzibar President, who is also chairman of the Revolutionary Council, Dr. Ali Mohamed Shein, for his strong warning against people who hide behind the façade of religion to foment terror and insecurity in the country.

"Christianity did not come to Zanzibar via the union. It was there for some centuries before the union ever came into existence, nor did it originate from the Mainland. As Dr Shein pointed out, the spread of Christianity and Islam to the Mainland originated from Zanzibar," the

President said, adding:

"The Anglican church in Zanzibar was built in 1873 while that of the Roman Catholic was built in 1893. These remain the oldest churches in the country."

The President sympathised with all the people who were in any way affected by the riots, saying the Union and Zanzibar governments would double efforts to ensure the safety of the people and their property. He praised the police force for containing the skirmishes in time and urged them to always be on alert.

President Kikwete's statement came a day after the leader of the Uamsho group, Sheikh Farid Hadi Ahmed, defied the order by President Shein, vowing to carry on with the anti-union campaign until the government gave in.

Zanzibar President Shein has issued orders for the immediate ban on public rallies meant to discuss the fate of the union between Tanganyika and Zanzibar.

Sheikh Ahmed's fresh threats came on the same day that Zanzibar-based senior clerics issued a joint statement expressing fear among their believers about their personal safety and that of their property. The leaders were from the Catholic, Anglican and Pentecostal church.

They were Bishop Augustino Shayo of Zanzibar Catholic Diocese, Bishop Michael Hafidh of the Anglican Church and Deputy Chairman of the Union of Pentecostal Churches Pastor Timothy Philemon.

Earlier in the week head of Tanzania Anglican Church Bishop Valentino Mokiwa lamented that it was unbecoming for Christians in Zanzibar to be relegated to second class status, noting that 23 church building had been set ablaze in the Isles since 2001.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Our Ignorance is the cause of our religion intolerance; has nothing to do with the fight for Zanzibar freedom at all
 
So far this is a perilous phase. I still flop to understand how they have accomplished to wrestle the whole Muungano with a religious facade. If religion remains to be a basis for perception of letting go or not, then It is an inevitable bomb waiting to explode.
 
wapendwa,

kama historia inavyoonyesha, ukristo na uislam vilienea duniani kutokea mashariki ya kati!

vivyo hivyo, ukristo na uislamu, vimeenea tanzania kutokea zanzibar!

sasa iweje watokee watu zanzibar waseme muungano unaleta ukristo zanzibar? muungano ambao haujafikia hata miaka 100? wakati dini zote hizo ziina zaidi ya miaka 200 bara na visiwani??

namsifu jakaya kikwete kwa kusema ukweli! serikali zote mbili zonapaswa kuwa makini na kutumia kikamilifu vyombo vyake vyote vya dola kuhakikisha usalama wa raia na mali zao kwa pande zote za jamhuri ya muungano wa tanzania!

matumaini yangu ni makubwa na kwa neema na uwezo wa Mungu, tutafanikiwa!

Mungu tubariki tanzania,

Glory to God!
 
Ni kweli. Ukristo na Uislamu uliingia kwanza Zanzibar halafu ukaenezwa Tanganyika, lakini kwa sisi kwasababu ya kutoangalia historia na ignorance yetu tunadhani au tunachagua ni bara ndio ukristo ulianza na unakwenda Zanzibar na hatusemi chochote kuhusu
Uislamu.

Hapo ndipo tunapokosea...
 
Our Ignorance is the cause of our religion intolerance; has nothing to do with the fight for Zanzibar freedom at all

THIS IS OUR IGNORANCE

FROM 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu.

Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.
 
You don't "warn" a group like Uamsho as if its your child. You simply act. I don't see the point of coming out in the media to issue a threat to the group. The police are under you, the intelligence service is under you, simply act!
 
Yeah, Unajua Dini zote za kikristo na kiislamu zilianzia Zanzibar na Pwani wakati ule ikiwa chini ya Sultani na kuingia Bara kwa idhini ya Sultani?

Unajua kuwa George Kahama pamaja na hiyo ana wake wanne, na hiyo haitakiwi kwa Dini ya Kiroma? kwahiyo kiuhalali wangemtelekeza? Angepokelewa karibu na Waislamu kwa kuoa wake wanne zaidi ya waroma.

Yeah, Ulisema hivyo lakini wakati huo huo Machifu wote waliofuata hiyo dini ya Kilutheri waliondolewa wadhifa wao Mfano
Chief Mareale wa Marangu, alikuwa Mlutheri powerful kweli na Kahawa, Nyerere alimvua cheo chake na kukichukua Chama
Cha Ushirika cha KNCU kwa sababu wachaga wachache walikuwa Matajiri na kutosikiliza serikali.

Nyerere alifanya Mengi Machungu kwa Wakristo pia Wakristo sio kundi Moja kuna madhehebu Mbalimbali; Hapa Tanganyika Waislamu wetu wengu ni Sunni; lakini kwa Wakristo tuna Roma, Walutheri nakadhalika na wote waliathirika
Kwa kutaifishiwa ghuzo zao za kiuchumi kama walutheri hospitali ya KCMC au wa ROMA bugando hospitali au Mashule kibao; walimchukia kwa hayo pia lakini katika Dini za kikristo biblia inaongelea kusaidia Masikini. Sasa Nyerere aliyasema hayo, kwahiyo hata kama hawakupenda jinsi alivyochukua mali zao alisema ni kusaidia kila masikini nchini awe mkristo au muislamu. Hapo kweli hakubagua Mkristo na Muislamu walienda hizo shule na hospitali na kupata matibabu bila shida yoyote.

Sasa kama ni Chuki ya Nyerere, kweli sawa lakini wapo au tupo tuliofanikiwa na aliyoyatenda kuna watu tusingeona elimu ya Juu, au Kidato cha kwanza au kusomeshwa nje ya nchi na serikali angalia Kenya hawana hayo.

Chuki hii ni Ignorance, wengi wao ukiwauliza kuna faida tatakuambia ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea ya Nyerere
Lakini kama ni Muda Umefika wa Zanzibar kujitenga ni lazima Udini Uwekwe ili ijiondoe? Kuna Wazanzibari UK; wanaishi kwa Amani huko UK unadhani hata siku moja watachoma Kanisa huko? Hata siku Moja watamtukana Mkristo huko UK?
 
Mwanafalsafa,

You are quite right the President who is never serious should simply remove Uamsho from the Register of societies whatever might be outlaw it and prosecute them right away.

Recently Nasari the Youngblood Mp for Eastern Arumeru was interrogated by the Police in Arusha for the mere political utterance that the North should think of creating an independent state. This was thence corrected by Mbowe before the end of the political rally. A file to that effect has been sent to DPP for review

Uamsho has been preaching break of the Union which iamounts to treason but they have never been arrested or questioned. The Inspector General of Police and Minister for Homeland have gone to Zanzibar and Uamsho is only been charged for unlawful assembly and our funny President issues a warning ? This is double standard of the highest order I have seen.

You still think JK is serious? We have mayhem in Zanzibar and the presida spends more than half an hour on Kilimo Kwanza Blah Blah!,, How do you go Kilimo Kwanza with no railway network operating?.. This is more than crazy wakulima wakubwa watabeba Mazao kwa ndege?..?
 
Back
Top Bottom