JK: Uteuzi wa Magufuli ni mapenzi ya Mungu!

Kujua mtu ni chaguo la mungu!lazima na wewe uwe mcha mungu!mungu hawezi "kukufunulia"mambo mazito namna hiyo bila ya wewe kuwa "mcha mungu".otherwise,itakuwa ni "kumfuru"mungu.kama "hamjui"mungu sawa sawa "asiropoke"mambo ya mungu.
 
Huyo mungu wa CCM ni atakuwa alikuwa mwenyekiti wa kile kikao chao kilichofanyika Dodoma... Yule mungu alivunja kanuni, alikuja na majina mfukoni na aliwaadhibu wenye haki pasipo stahili...

mungu wa WAMA...mungu wa JK, mungu wa Nape, mungu wa wezi, majangili, wa watambikaji, mungu wa watembea na fisi, washirikina, wafitini, wababaishji, waua albino, wauza madawa ya kulevya... mungu huyo lazima atakuwa anapenda na kufurahia yale yasiyo haki...
 
Viongozi Wa CCM acheni kumkejeri MUNGU WETU kwa DHAMBI Na MAOVU yenu Vimemo vya majina myatakayo mtoe mifukoni Leo eti Mungu kahusika?Ewe Mungu ilaani CCM kwa kukukejeri.
 
Mungu hawezi kufanya kazi na kikwete Muua tembo mkubwa ,rais aliye aliyetumia muda mwingi kusafiri nje huku raia wake wakiwa katika umasikini wa kutupwa.Magufuri angetoka ccm hapo tungesema ni mapenzi ya Mungu,huwezi kutoka kwa wabaya tuseme umetoka kwa Mungu,Mungu anataka viongozi wawajali masikini.
 
Nakubaliana na wewe kwamba ni kweli kabisa, yeye ni chaguo la Mungu la kuidhaifisha CCM ili ife
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.
....naona JK anahangaika na Magufuli wake kila kona....hata kampeni hazijaanza na wao ndio walalamikaji wanaposema watu wa upinzani wanaanza kampeni....leo nimewaona ccm na JK wao wakimpigia kampeni Magufuli kabla ya muda kuanza...

....Naona JK ameshapanick anaona vigumu kumwacha pekee Magufuli waliyempitisha kwa kumbeba....anahaha nae kila kona...ameshindwa hata kwenda SADCC kwenye mkutano....maji yamekua marefu huko ccm...

....inasikitisha JK anaposema eti Magufuli chaguo la Mungu....nani anayeweza kumnyoshea mwenzake mkono wa sifa zaidi ya Mungu mwenyewe???...wanafiki ndio wanaotumia jina la MUngu kupata watakacho....Nana ameamua kuwahadaa wananchi na vimaneno alivyotumia kuingia madarakani huko nyuma...pale mapadre wezi(kina Kilaini) waliposema yeye JK ni chaguo la Mungu...huku tukishuhudia utawala wake ukifanya mambo meengi ya kishetani....huu ni unafiki na dhambi pia....kumtaja Mungu hovyo....
 
yaani kabisa ... usoni anaonekana ni mtu aliyejawa na hasira sana. Jambo kubwa ambalo nahisi linamuumiza ni kwa sababu Lowassa anajua dili nyingi sana za CCM na kwa vyovyote vile anaweza mwaga mboga muda wowote na itakuwa disaster kwa magufuli na CCM kwa ujumla.

Yaani JK ni mtoto kwa Laigwanani, haongei lolote sasà hapo ni uwoga tu
 
Right Magufuli for Presidential. Mishagi bagosha pye Ntemi wise uyo. Lemagi tuja! Merci merci!
 
Leo Hawa jamaa wamefanya kampeni kabla ya muda.... Tume ya uchaguzi iko usingizini ikiota Ukawa wanafanya kampeni. Mi CCM wakifanya tena kampeni zao tuwakemee kama mlokole anavyomkemea shetani!
 
Anawadanganya watanzania mchana kweupe. Anamsingizia Mungu bure. Ukweli alishausema mzee Kingunge. Mungu c wa mchezo atawaadhibu
 
dah ntashinda na Ukawa no one can change my Mind Ukawa ukawa nina sababu milioni moja za kuwapa kura Yangu Ukawa
 
Ipo tofauti kati ya 'chaguo la Mungu' na 'mapenzi ya Mungu'. Kama Mungu ameamua CCM ife then jukumu la kuiua likaangukia mikononi mwa Magufuli ambaye ni mchaMungu (ref TB Joshua) nakubaliana na JK kuwa hayo ni mapenzi yake Mungu!
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.

Offcourse ni mpango Mungu ccm ifutike!
 
Huyo mungu lazima atakuwa yule yule wa Escrow.
...JK kama kweli anampenda Mungu na kuumizwa na umaskini wa watanzania basi atoke awaambie watanzania ni nani walikwapua zile pesa za escrow kupitia stanbic bank.....maana yeye JK alipewa report ile na takukuru...aje awaambie watanzania ni nani walibeba pesa zile stanbic....ama ni nani walirudisha zile pesa za EPA.....asipofanya hivyo bado anajiweka kwenye nafasi ya mnafiki anaetumia jina la MUngu kuwachagulia watanzania rais....kama ambavyo yeye alipigiwa kampeni kwa kigezo cha chaguo la MUngu na mapadrre wezi kama Kilaini...hii nchi wengi wanaitia laana kwa matamshi yao bila kujua....
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.
Sijawahi ona mtu mnafiki Kama kikwete
 
Back
Top Bottom