Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,047
- 9,777
Wale waliofuatilia pale JK alipoongea na wahariri wakuu na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mtakubaliana na mimi kuwa JK hajawa serious katika kushughulikia kero zinazowakabiri waTZ, alikuwa akitoa majibu mepesi, alitumia muda mwingi kuelezea suala la Rada ambalo hivi karibuni linatarajiwa kufikishwa mahakamani mara mhusika akipatikana. Ina maana mpaka aliongelee hilo ameshajiridhisha kuwa huyu jamaa ni mharifu hata kabla mahakama haijamkuta na hatia.
Mimi sijapata chochote katika hotuba yake ambacho kingesaidia kuchochea ukuaji wa uchumi ulioimara na endelevu.
Namuona JK ni kama hajafahamu vipaombele vya nchi na wananchi wake.
Hebu tuuchambue mkutano wa JK na Wahariri!