JK take a note thread

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
article-0-068B1102000005DC-129_468x570.jpg

Working up a sweat: France's President Nicolas Sarkozy jogged along Madison Avenue ahead of his appearance at the U.N. climate summit
Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/wor...k-ahead-U-N-climate-summit.html#ixzz0RsSdrHR4
article-0-068AF9A4000005DC-763_468x430.jpg

baada ya mazoezi...prezidaa ameingia Ukumbini anamwaga sera

article-0-068B32B5000005DC-739_468x582.jpg

wewe ni rais kijana na ulikuwa MWANAJESHI sasa hivi bi Salma amezidisha ma pocho pocho umekuwa na Kitambi mpaka unaboa

Tazama Sarkozy leo mchana kweupeee anapiga jog wakati yupo kwenye mkutano wa UN ambao JK naye ame attend

Lakini kinachoudhi zaidi ni yule BG wa JK ambaye naye ni kibonge na anakitambi utafikiri nini

kazi kwako JK acha uzembe ingia GYM..mkulu, na kama unaona GYM miyeyu basi ukiokea Ikulu ukazunguka Ocean Road Mpaka Seaclif na kurudi uwongo kitambi kitaondoka hicho
 
Nimewahi kumwona Kikwete anajog,saa kumi alfajiri,wakati ule alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje.
 
Jaluo naye hayuko nyuma kwenye idara ya mazoezi...na hapa yuko mtaani na si kujifungia Ikulu na akina

2009-09-22-reggielove2.jpg

Returning to their hotel, water bottles in hand (Fiji for Love, Aquafina for Obama), after the game:

2009-09-22-reggielove3.jpg

A gratuitous Reggie Love photo. Here the personal aide walks across the South Lawn of the White House to Marine One on September 12 en route to Minneapolis with the president. His reading material? The New Republic.

2009-09-22-reggielove.jpg
 
Thank you Game Theory for this post.
Siku ile ya kwanza nilipofika[Manhattan] New York,nilitoka nje usiku kutafuta chakula,usiku saa tano. Nikamwuliza jamaa mmoja anieleze wapi pa kupata chakula,akaniambia yeye ni mtalii kutoka Ufaransa,hana hakika,lakini akanipa maelekezo kidogo.
Halafu nikamwambia,"Unataka Ufaransa sio? Nieleze kuhusu Sarkozy,pale kwanza alipochaguliwa alikuwa na maneno mengi ya kusema,lakini siku hizi yuko kimya sana,kwa nini?''
Akasema."Ah,yule Sarkozy,anaongea tu maneno mengi,halafu hafanyi kitu chochote cha maana. He is the shame of France. But he has got a beautiful wife.''
This person was just jibing at his President,lakini I think he has affection for his leader.''
Halafu it was very interesting that day,baada ya kutembea kidogo,nikakingia katika mgahawa fulani,na kuagiza chakula. Nikaona watu wote pale wananitazama kwa macho makali. Nikawaambia,''I am sorry every one,I did not know that this was a restaurant only for the Chinese.'' Mtu mmoja pale akanijibu,''We are not Chinese,we are Japanese.''
 
Ganesh,
Welcome to Manhattan.
Elam anasema anasubiri e-mail yako.
 
gore_office.jpg

tazama ofisi ya mwenzie AL GORE alivyobize

sio kazi zote anaachiwa yule MJUWAJI jairo AMBAYE KUSEMA UKWELI NAYE NI bogus tuu
 
Mkapa Alikuwa Wembamba na alishiriki Jogging? Pia alienda sana Gym?
 
Comrade JK ukikutana na viongozi warefu kukuzidi basi usisahau kusimamia vidole kama mwenzako Sarkozy hapa chini.

original.jpg
 
Ahahahahahahaa...duuuh!! hii picha kama haijawa doctored basi kasheshe maana from the looks of it mama Sakozii kavaa flats lakini Sakozii bado kazidiwa urefu
 
Comrade JK ukikutana na viongozi warefu kukuzidi basi usisahau kusimamia vidole kama mwenzako Sarkozy hapa chini.

original.jpg

i like the title - 'insecurity'. everyone suffers from this condition. Hata kama wewe ni Obama!
 
sio raisi tu, wananchi wote wenye vitambi waanze kukimbia mchaka mchaka /mazoezi, hatari sana kwa afya
 
article-0-068B1102000005DC-129_468x570.jpg

wewe ni rais kijana na ulikuwa MWANAJESHI sasa hivi bi Salma amezidisha ma pocho pocho umekuwa na Kitambi mpaka unaboa

Tazama Sarkozy leo mchana kweupeee anapiga jog wakati yupo kwenye mkutano wa UN ambao JK naye ame attend

Lakini kinachoudhi zaidi ni yule BG wa JK ambaye naye ni kibonge na anakitambi utafikiri nini

kazi kwako JK acha uzembe ingia GYM..mkulu, na kama unaona GYM miyeyu basi ukiokea Ikulu ukazunguka Ocean Road Mpaka Seaclif na kurudi uwongo kitambi kitaondoka hicho

inawezekana pia jeikei hana matatizo ya sukari,wala pressure!ndo maana anaamini haitaji mazoezi
 
Back
Top Bottom