JK sio rais makini


TENA RAIS mtendaji,alafu utasikia ameshauliwa vibaya
 
Mh Mnyika aliposema pale bungeni kuwa rais na ccm yake wote wadhaifu kuna watu walitokwa na mapovu, hakika huyu hakufaa kurudi round ya pili
 
Mkuu Abunuas ninakumbuka katika utawala wake Mkapa na kuwalinda viongozi wake alikuwa anawatuhumu baadhi ya wabunge kuwa "wanawivu wa kijinga"
jamaa aliendesha nchi kibabe kweli kweli. na kuna madudu mengi sana yalifanyika kipindi chake lakini nani alithubutu kwenda kumfunga paka kengele? hata huyo slaa, hebu niambie miaka 5 ya kwanza pale bungeni chini ya utawala wa mkapa alifanya nini? tunajua hakufanya lolote maana naye anaroho pia. ukweli ni kwamba Kikwete katutoa tongotongo wengi sana. hata hizo haki watu wanazojidai kuzijua kama sio uwazi wa Kikwete wala tusingezijua.
kikwete katufungua macho ila hajafanya ya kutosha kuwawajibisha wakosaji. ni matarajio yetu rais ajaye atayasimamia haya ya uwajibishaji bila kuzuia uhuru wa habari kama Kikwete alivyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…