BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,106
........wameshagundua udhaifu wetu, sisi ni kuzima maandamano tu na kupiga ulimboka........ na kila mtu ni mfanya biashara pale alipo, ikiagizwa rada tunaleta feki ndo maana mama anatudharau kwa sababu yupo serious sio sisi kuchekacheka na kusubiri kuoteshwa urais, ......WASIRA baba chukua fomu, hatuangalii sura sisi safari hiii, tumechoka kuaibishwa.....Hili la Malawi kudai ziwa Nyasa lilishawahi kuibuka mwaka 1979 wakati ule Rais alikuwa Nyerere tena ilikuwa ni baada tu ya kumng'oa Iddi amin.
Alichofanya Nyerere ni kupeleka majeshi mpakani mwa Tz na Malawi cha ajabu Wamalawi hawakuendeleza chkochoko mpaka leo ndio wameamua kulianzisha tena.