JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Dawa ni moja na wao watangaze takwimu nyingine,wase waislam ni 80% na wakristo ni 20% atakaye bisha apelekwe mabwepande akakumbatie msitu
 
Mmmm kama vile aliyeanzisha hii thread namfahamu, ana ID nyingine ya jina lake halisi. Uandishi wa uvumi na hisia
 
Acha kutuchanganya na udini wako. Watanzania ni wamoja, kaa nyumbani uhesabiwe...
 
hao waslam si wafanye sensa yao ili kujua wapo wa ngap?
Ndo maana nikasema wanaweza kujifunza kwa wenzao walivyofanya badala ya kutumiwa na watu wenye maslahi binafsi na nia mbaya kwa taifa letu.
 
Wee ndo mnafiki wenzio wapo wamelalamsikitini wanaamsha maobi wee upo nyuma ya keyboard. Nenda kajiunge huko atahesabiwa ww.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
udini wa kipuuzi tu.......

Nafasi hupewi kutokana na dini yako, bali kutokana na elimu yako....... Huko mtwara hata kama 100% ni waislamu kama hawajasoma bado ni upuuzi atatoka mtu nje mwenye elimu kuongoza na wao wataishia kuwa walinzi au wamachinga.....

Nendeni shule....
Mkasome.....
Mnayoyataka yatatimia kama mna elimu....
Sio kudanganya watu
 
hao waslam si wafanye sensa yao ili kujua wapo wa ngap?

mzee kila mtu akifanya sensa yake kwa faida yake hiyo itakuwa sensa? issue zoote za validation lazima zifanywe na third part... acha ukilaza wewe
 
halafu angalia sehemu zote walizopita waarabu....watu wako duni duni duni si tu kimaisha hadi uwezo wa kufikiri
 
Sipati picha kama vitabu vya dini ya kikristo vingekuwa vinasema kuwa Waislamu ni Makafiri!
 
Kwani tovuti ya waislamu inasemaje?nao watoe zao na kila mtu atumie za kwake kuliko kung'ang'ania za wenzao, wao ndo hawatumii akili kichwani
Mwaka 1967 Serikali iliondoa kipengele cha dini ktk sensa ya wananchi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa Sababu Kinaweza Kuleta Matatizo ya Udini.

Kinachowakwaza n...i takwimu za idadi ya watanzania kuonyeshwa kulingana na imani ya dini zao UKIZINGATIA UKWELI KWAMBA toka 1967 kipengele hicho kilishaondolewa…


Taasisi zenye takwimu hizo ni kama ifutavyo:-

1.Ofisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45% waislam 35% Na hili limo kwenye Calender zinazotolewa na ofisi ya waziri mkuu.

2.TBC 1 Tar 26 April 2012 Imetangaza kuwa takwimu zinazoonyesha wakristo ni 52% waislam 32%..

3. Bodi ya utalii imeonyesha katika Website yao wakristo ni 45% waislam 40% (taarifa ambayo kwa sasa wameindoa baada ya taasisi za waislam zinazopinga zoezi hilo kutumia kama reference).

4. Wakatoliki tovuti yao (www.rc.net ) wanadai waislam ni 34% na wao ni 44%
(Wanadai waislamu ni lini walihesabu?).

5. Pia wanadai takwimu za nama hiyo zipo kwenye Ramani zile kubwa kabisa zinazoonyesha nchi yetu na nchi ilizopakana nazo na kwenye http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania#Religion

WANADAI kuwa Takwimu hizi za uongo zimekuwa zikitumiwa ktk uteuzi na maamuzi, kama ilivyoelezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na jumuiya ya kiislamu ya OIC sababu raia wakristo ni wengi kuliko waislam.

Je, madai hayo yanatosha kuwa sababu ya kugomea sensa MPAKA KIPENGELE CHA DINI KIWEKWE ILI KUONDOA UTATA WA TAKWIMU????....

TUMIA AKILI YAKO KUAMUA KESHO NDIO ZOEZI LINAANZA…
“AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO”(usiwe KILAZA)
 
Tunashukuru Ponda kahesabiwa na kasifu zoezi linalo endelea:
 
Kama wakatoliki walitoa idadi yao na tbc wakatoa yao basi na waislamu watoe yao ili iwe ngoma DROO
 
Sipati picha kama vitabu vya dini ya kikristo vingekuwa vinasema kuwa Waislamu ni Makafiri!

Kafiri sio tusi ni jina la asie kuwa Muislam i.e mkristo,mbudha,myahudi mpagani kwa pamoja wanaitwa makafiri kama vile embe,pera,chungwa kwa pamoja ni matunda!
 
Back
Top Bottom