Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Hivi Dr Haji Mponda na Dr Nkya walikuwa na kiburi toka wapi wakashindwa kuwasikiliza madakitari? Hivi walikuwa hawafahamu kuwa Dr JK alikuwa anapata information toka ndani kabisa ya jopo la madakitari kupitia mwanae Salama ambaye ni dakitari? Nadhani walipaswa waache kumdanganya Rais, watekeleze matakwa ya madakitari ili kuepuka hii aibu iliyowakumba. Nampenda JK kwa hili maana kama ni kisasi wala huwezi ukajua yeye ndiye aliyeamua "Ni kamati kuu" ya CCM, eti!!?
Madaktari wafurahia Dk Mponda, Nkya kuondolewa
Mkuu jizuie kuchambua mambo kishabiki.hapa kama yuko kwenye taarabu vidole juu akalime mpunga na bado mahakamani atatinga
JK ni mzee wa kukwepa lawana. Pale tunapoonaga kwamba anachelewa kufanya maamuzi, ni kwamba anakuwa anatafuta mtu wa kutupiwa lawama kwa maamuzi atakayoyafanya.
hapa kama yuko kwenye taarabu vidole juu akalime mpunga na bado mahakamani atatinga
waishukuru CC ya gambazHivi Dr Haji Mponda na Dr Nkya walikuwa na kiburi toka wapi wakashindwa kuwasikiliza madakitari? Hivi walikuwa hawafahamu kuwa Dr JK alikuwa anapata information toka ndani kabisa ya jopo la madakitari kupitia mwanae Salama ambaye ni dakitari? Nadhani walipaswa waache kumdanganya Rais, watekeleze matakwa ya madakitari ili kuepuka hii aibu iliyowakumba. Nampenda JK kwa hili maana kama ni kisasi wala huwezi ukajua yeye ndiye aliyeamua "Ni kamati kuu" ya CCM, eti!!?
Madaktari wafurahia Dk Mponda, Nkya kuondolewa
Hivi Dr Haji Mponda na Dr Nkya walikuwa na kiburi toka wapi wakashindwa kuwasikiliza madakitari? Hivi walikuwa hawafahamu kuwa Dr JK alikuwa anapata information toka ndani kabisa ya jopo la madakitari kupitia mwanae Salama ambaye ni dakitari? Nadhani walipaswa waache kumdanganya Rais, watekeleze matakwa ya madakitari ili kuepuka hii aibu iliyowakumba. Nampenda JK kwa hili maana kama ni kisasi wala huwezi ukajua yeye ndiye aliyeamua "Ni kamati kuu" ya CCM, eti!!?
Madaktari wafurahia Dk Mponda, Nkya kuondolewa
Mkuu Shine, kwa nyeti nyepesi nyepesi watendaji wote watachukuliwa hatua, kwa mfano sasa hivi kwenye halmashauri moto unawaka kinoma. Na kule nadhani ndiyo kunawezi sana na ndiyo hao unaowaona wanasomesha watoto wao academy na kuendesha magari ya kifahari huku wanapita barabara za vumbi. Nadhani ktk hili Rais tumuunge mkono hata kama wewe ulifaidika au unafaidika, tutafute njia mbadala ya kujiwezesha kiuchumi na siyo kuwa wezi kwani hii inaharibu hata ukuaji wa uchumi.Serikali ipi ya kumpeleka mahakamani? Labda baada ya hii ya kukwepa lawama na bora liende!!
Ukiwa baba au mama nyumbani kwako "hakuna demokrasia" haswa africa. Maana hakuna atakayekuwajibisha (Haswa africa). Ila kwenye serikali ukikosea unawajibishwa na sauti ya uma kupitia hao waliokupatia dhamana. Mabadiliko yaliyofanywa yanaweza angalau kutoa matumaini ya nini kifanyike kwani Dr Mponda aliwahi kusema " Hawajibiki kwa Ma Dr, bali kwa wapiga kura wake" Na Dr Nkya aliwashawaambia ma Dr hawezi kukutana nao kisa kajichagulia ukumbi. Sasa kwa akili yako unadhani hawa ambao hawakuwa baba wala mama wa ma Dr wangeachwa hivi hivi? Unaweza kuwambia wanao hualipii karo na wakakushitaki na ukawalipia sembuse kiongozi? mfumo uliopo ni mbaya ila wa kuurekebisha ni mimi na wewe kupitia kura.Ni mawazo mgando kufikiri matatizo ya sekta ya afya yataisha kwa kuteua viongozi wapya wa wizara. Kama una akili timamu utatambua kuwa matatizo mengi ya nchi hii ni zao la mfumo mbovu wa usimamizi wa rasilimali, rushwa, ubadhirifu, uchama, taifa kukosa mwelekeo kimaendeleo, ubinafsi namaadili mabovu
Ukiwa baba au mama nyumbani kwako "hakuna demokrasia" haswa africa. Maana hakuna atakayekuwajibisha (Haswa africa). Ila kwenye serikali ukikosea unawajibishwa na sauti ya uma kupitia hao waliokupatia dhamana. Mabadiliko yaliyofanywa yanaweza angalau kutoa matumaini ya nini kifanyike kwani Dr Mponda aliwahi kusema " Hawajibiki kwa Ma Dr, bali kwa wapiga kura wake" Na Dr Nkya aliwashawaambia ma Dr hawezi kukutana nao kisa kajichagulia ukumbi. Sasa kwa akili yako unadhani hawa ambao hawakuwa baba wala mama wa ma Dr wangeachwa hivi hivi? Unaweza kuwambia wanao hualipii karo na wakakushitaki na ukawalipia sembuse kiongozi? mfumo uliopo ni mbaya ila wa kuurekebisha ni mimi na wewe kupitia kura.
Ukweli ni tatizo sugu. Kibaya kwa Tanzania yetu kila kiongozi ni mwizi! Nadiriki kusema hivyo kwa sababu nilishashuhudia. Ukijifanya huibi wenzako wanakuchokngea live au wanakufanyia fitina unakufa. Hili la rushwa ni gonjwa la taifa, we tizama halmashauri zinavyotafunwa. Mfano kuna mzee mmoja alikuwa afisa mipango pale morogoro basi akaondoka kwenda shule, akamuachia kijana ashike nafasi yake, mzee wa watu karudi ili akabidhiwe kijana akakataa kabisa kumkabizi kisa alikuwa amefanya ufisadi wa hali ya juu, ikabidi mzee amuache kijana kwani ilionekana anasapoti ya watu wa juu. Na bahati mbaya muda wa kustaafu mzee ulikuwa umefika. Na mpaka sasa huyo kijana mwizi (nadhani anaitwa John) yupo anaendelea kukaimu. Sasa kama wizi upo kwenye grass root tufanyeje???? Nadhani watanzania tunapaswa kuelewa tatizo na kushauri, na kwa hatua iliyopo kwa sasa ya kuwachukulia hatua watendaji labda itazaa matunda, otherwise tunahitaji CDM waingie mtamboni watuendeshe. Ni kama Phillipine, yule mama alikuwa kama CCM, mwizi wa mali na kura, sasa jamaa wamechkua nchi na mambo yao yameanza kunyooka, na huyo mama alipata kibano (kama ambavyo Mkapa na JK watakavyokuja kupata hapo baadaye) mpaka sasa yupo hoi mara eti naumwa! Jamaa wanamuambi pumbavu ulifilisi nchi...?? unataka kwenda wapi? Suluhisho ni Kura!Kaka hii ni mara ya 2 katika awamu hii baraza linafanyiwa mabadiliko makubwa kutokana na kashfa za ubadhirifu na ufisadi, tulitarajia baada ya Richmond mawaziri wangekua waadilifu lakini hii ni awamu nyingine ya kureshufle ulaji bata...hakuna jipya
Ni kiongozi asiyependa kunyooshewa mkonoNimeikubali staili ya JK, ukivurunda usisubiri kuambiwa.
Pima upepo wa kisiasa, na changanya za zako mwenyewe!!!
WasalimieTehetehe,napita tu