GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
11,479
Reaction score
12,092
JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
 
Unatetea ujinga bila shaka.
Mimi sioni tatizo yuko kwenye kampeni za CCM ni haki yake yuko kampeni za chake sasa kama mtu ajaona aibu ya kushinda peke yake ni kumpuuza
 
Tubadilishe katiba ili waweze kushtakiwa

20250926_094740.png
 
Jk asiyeweza kukemea mauaji
Jk asiyeweza kukemea kuuzwa bandari
Jk asiyeweza kukemea uchaguzi wa utapeli
Jk asiyeweza kukemea rushwa na ufisadi
Huyo jk hana heshima yoyote katika jamii
 
Back
Top Bottom