JK ndio mzee wa maamuzi magumu!

JK ndio mzee wa maamuzi magumu!

JK ni rais wa kipekee hapa Africa na ni mfano wa kuigwa. Kwanza alishajitanabaisha mapema kuwa anag'atuka kwenye madaraka na wala hana mpango wa kuongeza muda. Kwa hali jinsi ilivyokuwa nimeamini kabisa kuwa huyu jamaa ni mwanajeshi na maamuzi yake si ya kurudi nyuma. Ni kiongozi jasiri na mwenye maono
ya mbali. Watu wanaweza wasimuelewe, lakini watu wachache watamuelewa tu. JK umedhihirisha uazalendo wako.

Ana ujasiri kama wa mwosha maiti na sio ujasiri wa dakitari. Ningemsifu kama angekuwa na ujasiri wa daktari. Kikwete anasuburi mtu anakufa ndo anajifanya anajali, kwanini alishindwa kutuletea waliochota fedha zetu za STANIBIC?
 
Ana ujasiri kama wa mwosha maiti na sio ujasiri wa dakitari. Ningemsifu kama angekuwa na ujasiri wa daktari. Kikwete anasuburi mtu anakufa ndo anajifanya anajali, kwanini alishindwa kutuletea waliochota fedha zetu za STANIBIC?

Ulipoletewa wale wa Kanisani akina Kilaini uliwafanya nini !? ..... acha kuturusha stimu wakati tumezilipia
 
Nilisema hapa mchana kuwa team lowassa wakiamua membe haingii tatu bora...kuna mtu kasema membe 100% raisi wa tz....sasa nasema tena team lowassa wakiamua kufanya mambo yao ninayoyajua....mgombea uraisi mwaka huu kwa tiketi ya ccm ni mwanamke...narudia pona ya ccm mwaka huu ni huruma ya team lowassa...narudia tena jk anaweza kuweka historia ya kuifanya ccm kuwa histori...ukichwa wake mgumu utaigarimu ccm...upinzani ukijipanga mwaka huu wanaweza kuingia magogoni...lowassa anaweza asimwage mboga lakini wananchi wakamwaga mboga.....

We Mrombo nini !?
 
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120 Makufuli

oyeeeeeeeeee
 
SIO RASMI....

Kauli ya Kikwete ya hivi punde kwa halmashauri kuu " Hii nchi ni ya Watanzania wote. Kila mtu ana haki ya kuhitumikia! Kila chama kina haki ya kushika dola na kutumikia wananchi kwa sababu ni nchi yao. Hakuna mwenye haki peke yake ya kuongoza nchi hii . Si chama wala mtu mwenye haki ya kipekee kuongoza nchi. CCM haipo peke yake kwenye mchakato huu.! Vyama vya siasa navyo vitaweka wagombea. Pia nao wanasifa ya kutumikia nchi yao. Ni wazalendo pia. Mzalendo akikosekana hapa CCM tunaweza kumpata ndani ya vyama vingine. Siyo dhambi! Nilimchagua Mbatia kutoka NCCR kuwa mbunge. Sikutenda dhambi!...sikulaumiwa! Mkichagua nje ya ccm hamtalahumiwa. Mtakuwa mmekidhi haja yenu ya kikatiba iliyo sahii kabisa. Ni lazima utaribu uheshimiwa la tutakuwa tumeshindwa kabla.......[emoji2827][emoji2827]
 
Kauli ya Kikwete ya hivi punde kwa halmashauri kuu " Hii nchi ni ya Watanzania wote. Kila mtu ana haki ya kuhitumikia! Kila chama kina haki ya kushika dola na kutumikia wananchi kwa sababu ni nchi yao. Hakuna mwenye haki peke yake ya kuongoza nchi hii . Si chama wala mtu mwenye haki ya kipekee kuongoza nchi. CCM haipo peke yake kwenye mchakato huu.! Vyama vya siasa navyo vitaweka wagombea. Pia nao wanasifa ya kutumikia nchi yao. Ni wazalendo pia. Mzalendo akikosekana hapa CCM tunaweza kumpata ndani ya vyama vingine. Siyo dhambi! Nilimchagua Mbatia kutoka NCCR kuwa mbunge. Sikutenda dhambi!...sikulaumiwa! Mkichagua nje ya ccm hamtalahumiwa. Mtakuwa mmekidhi haja yenu ya kikatiba iliyo sahii kabisa. Ni lazima utaribu uheshimiwa la tutakuwa tumeshindwa kabla..
Kwa mbaaali akili zinaanza kukurudia
 
Back
Top Bottom