Kwa Rais inayeigiza hata mimi naona hakuna ubaya,Lakini kwa Rais makini hawezi kuwa na simu wakati yuko kwenye issue muhimu.Nafikiri hapa watu wanachanganya Rais JK kama ni kitu kimoja wakati wote,Kama kuna official event nafikiri anawasaidizi lukuki wa kuhandle official matters...Inabidi ajifunze nidhamu.Uhalali wa jambo hautokani na Obama kufanya hivyo au mwingine yeyote.Tukumbuke Rais ni Taasisi