JK na Mzee Moi - Ipe maneno picha hii

Mzee Moi: Kijana angalia CCM isikufie mikononi mwako kama ambavyo mimi KANU ilivyonifia mikononi mwangu.
JK: Mzee najitahidi, na sasa tuna program tumepitisha ya kuvuana MAGAMBA, i think it will work. No doubt
 
MOI: ."....Aisee, kuwa makini!....Ninavyoona pale kwako pana hatari sana 2015.....Yatakupata yaliyonipata mimi na KANU yangu!"
JK: "....mzee....aahhhh, mzeee....eeerrr, ...mbona tumeamua kujivua GAMBA!....una maana bado wanaweza kunanihii?"
 
Mzee Moi..........Mwanangu JK nawewe hujui kusoma alama za nyakati punguza story majukwaani jaribu kuongea vitu vinavotekelezeka... .......
JK....................Akh..mzee si unajua sisi wakwere hatuishiwi maneno huwa hata sijioni ninavotoka nje ya mada
 
Moi.........Usije kuvuga nchi yako ccm mtakaposhindwa uchaguzi, maana kushinwa ni jambo la kawaida...
JK.......Sawa mzee lakini naogopa kuonekana chama kimefia mikononi mwangu...ntapata laana ya mzee nyerere...
 
JK: Lakini mzee hapa Kenya si mnaongea vizuri tu Kiswahili, mi naomba tuongee kwa kiswahili maana nasikia CCM na KANU tu mengine sikupati.
MOI: We, usinitie aibu JK. Mbona nnasikia umepewa hata shahada ya heshima, iweje usijue kiingereza?
 
Back
Top Bottom