JK na Mama Salma: Kauli zenu zina utata!

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
JK- watoto wa shule wanaopata mimba ni vihele hele vyaoMama salma- wanaowapa mimba watoto wa shule wakamatwe na washitakiwe
Sijapata ona watu vilaza kama hawa
 
Kwanini husijadili hayo maneno badala ya kuwajadili wao wenyewe!?
 
ni kipaji cha familia, kuanzia baba, mama hadi watoto
basi wamebobe kwa pumba.....kuliko kumuangalia jk na mama salma wakiongea its gotta go and watch pawn movies.....mimi nahisi malaria sugu ndio JK mwenyewe
 
Hii thread bro -k- sijui kama itadumu....nadhani unajua sababu!
mkuu......najua moderators wana njaa ya kufa mtu....BTW nasikia wau wenye vichwa vya mviringo wanakuwa dizaini brain zao ziko mrama
 
Hii thread bro -k- sijui kama itadumu....nadhani unajua sababu!
Nadhani ili tuiongezee maisha nadhani akibadilisha Heading ya Post mambo yatakuwa Shwari..., Akiweka...
Kauli ya JK Sio ya Busara......... na kutoa ile ya sijaona vilaza post inaweza ikawa na maisha marefu zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom