Boflo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 4,383 Reaction score 4,413 Feb 26, 2011 #1 hii kali....mpaka makaburini wanazika na viti vya kijani!!
Omukuru JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 242 Reaction score 41 Feb 26, 2011 #2 Na JK kusisitiza kwamba yeye ni mtu mwenye kupenda madaraka ameamua kukalia viti viwili
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 77 Feb 26, 2011 #3 Omukuru said: Na JK kusisitiza kwamba yeye ni mtu mwenye kupenda madaraka ameamua kukalia viti viwili Click to expand... Angeweza kudondoka na hicho kiti si ingekuwa noma?
Omukuru said: Na JK kusisitiza kwamba yeye ni mtu mwenye kupenda madaraka ameamua kukalia viti viwili Click to expand... Angeweza kudondoka na hicho kiti si ingekuwa noma?
Susuviri JF-Expert Member Joined Oct 6, 2007 Posts 3,713 Reaction score 891 Feb 26, 2011 #4 Kwa nini wanaomba dua wamekaa? Dua si inaombwa kw heshima zote wima (naona nyuma yake wote wamesimama). Wamekaa kwa sababu; 1. ni wazee 2. hawaoni umuhimu wa kusimama 3. ni wagonjwa ??
Kwa nini wanaomba dua wamekaa? Dua si inaombwa kw heshima zote wima (naona nyuma yake wote wamesimama). Wamekaa kwa sababu; 1. ni wazee 2. hawaoni umuhimu wa kusimama 3. ni wagonjwa ??
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Feb 26, 2011 #5 4. Ni utovu wa heshima
zaratustra JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 848 Reaction score 225 Feb 26, 2011 #6 Halafu Makambako kama anataka kucheka?!!! Kweli huu ni utovu wa heshima!