Jk na gk wanapopeana tano.

Jk na gk wanapopeana tano.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
1.jpg
 
nipe nota mazee....nimemiss xana hii kitu, ila siku moja ntarudi kitaa.
 
Man of the people.... Jk mtu wa watu jameniiiii
Ivo waTZ ndivyo tulivyo?
 
:yo:sio taabu hapo, kwa hiyo akiwa rais hawezi kuwa karibu na watu kwa matukio ya utani kama hayo? :msela:
 
GK ndio keshatoka hivyo, magazeti ya udaku kuanzia jumatatu mpaka ijumaa frontpage ndio hiyo! i
 
GK meno yote nje bahati yake si ya Tembo yangekuwa ya tembo ingekula kwakwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom