JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.
Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
Alisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.Alikuwa anawajoki au? Ina maana Mwema hampelekei taarifa kma fujo zimeisha au vipi? But this proves that he has nothing tangible to say to Arusha people
Alikuwa anawajoki au? Ina maana Mwema hampelekei taarifa kma fujo zimeisha au vipi? But this proves that he has nothing tangible to say to Arusha people
Sidhani kama jambo hili linapaswa kuwa joke, especially from the Head of the State provided kuwa hajasema lolote la maana kuhusiana na sakat hili tangu limeanza. Shame on himAlisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.
Alikuwa na huyu bosi wake hapo kwenye avatar?mtujuze wakuu.
Source :A S-fire1:JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.
Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
Live coverage...!
Na mwandishi wetu @PakaJimmy!
Alisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.
Kwa hiyo kama hazijaisha alitaka na yeye akajoin au?shame on him na ndo maana anajistukiastukia ka mgonjwa wa tumbo la kuhara.
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.
Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
Mkuu hapo pekundu, naomba usiniharibie siku yangu asavari.BTW; PJ naomba kuuliza, wakati wa mapokezi yake hapo arusha, huyu mary kitanda alikuwepo?
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.
Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
Mkuu,Madiwani wao ni wengi lakini hawakuwa na wingi wa kutosha kumpa ushindi meya kwa kufuata utaratibu wa kisheria na kikanuni.
Kama madiwani wao ni wengi ilikuwaje wakampa "transfer" mary kitanda kwenda kuongeza nguvu.
BTW; PJ naomba kuuliza, wakati wa mapokezi yake hapo arusha, huyu mary kitanda alikuwepo?