JK, Mama Salma na DIAMOND Haooooooo

JK, Mama Salma na DIAMOND Haooooooo

Kiprotokali na kiheshima, mkubwa hawezi kukaa pembeni ya picha ambayo itashirikisha watu zaidi ya watatu, JK ndio alipaswa kukaa katikati na huyo Msanii angekaa kushoto kwa JK,
Picha haina tafsiri nzuri
hakuna kitu tuko vizuro kwayo!hata hili la protokali za picha na rais!
MY BAD!
 
Mimi sio msafi lakini huyu dogo hajatulia, hawezi kuwa kioo cha jamii kama msanii sijui JK anatoa picha gani kwa jamii!!!

siri ya mtungi aijuae maji.... huwezjua kuna siri gani kwa huyu kijana, haiwezekani bwana hata mm hupata doubt sana sana...
 
69597_566115063416028_230298009_n.jpg

Picha ipo kisiasa hii,mkuu wa kaya anawalenga mashabiki wa huyo msanii hapo.
 
Rais huyu kwa masinepu hajambo! Sijui ana photo albamu ngapi......anyway hobbies have no limits
 
Mimi sio msafi lakini huyu dogo hajatulia, hawezi kuwa kioo cha jamii kama msanii sijui JK anatoa picha gani kwa jamii!!!

kwa nionavyo mimi msanii kuwa kioo cha jamii maana yake, aonekanavyo ndivyo jamii atokayo ilivyo. kama msafi basi atakuwa anatoka jamii ya wasafi na kwa huyu haya ayaonyeshayo ndio picha halisi ya jamii atokayo.
 
Kiprotokali na kiheshima, mkubwa hawezi kukaa pembeni ya picha ambayo itashirikisha watu zaidi ya watatu, JK ndio alipaswa kukaa katikati na huyo Msanii angekaa kushoto kwa JK,
Picha haina tafsiri nzuri

Hii haijapigwa katika mahusiano ya kikazi, ila katika mahusiano ya kawaida kama watu wanaofahamiana au marafiki. Wangeweza kupiga hata wanagonga TANO za nguvu! Hakuna shida hapa
 
Back
Top Bottom