JK, Mama Salma na DIAMOND Haooooooo

JK, Mama Salma na DIAMOND Haooooooo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
69597_566115063416028_230298009_n.jpg
 
Mimi sio msafi lakini huyu dogo hajatulia, hawezi kuwa kioo cha jamii kama msanii sijui JK anatoa picha gani kwa jamii!!!
 
Huyu dodo si ndio mara zote mizuka ikimpanda anamwaga radhi jukwaani!! sasa leo vipi hapa na president na mama mama riz1!!! wonders shall never end
 
Jamani mwacheni baba riz hiki ndicho anachoweza zaidi...
 
je 50 cent mbona hamkusema mara jezi na dodgoba etc hahaaaaaaaaaaaaa kazi kwelikweli
 
very bad! dogo amepiga picha na prezidaa akiwa na nguo hizo!!! bora hata angevalishwa nguo za kijani!
 
J.K kuwa makini huyo dogo hafai anaweza akamwaribu Mwanaasha Jakaya Kikwete hivi hivi akamtundika mimba
 
Ukiwa na hela na maarufu unaenda ikulu

Hapana,mini naona Ikulu sasa hivi iko accessible kwa mtanzania yeyote, provided una sababu ya msingi. Kipindi cha mwalimu nadhani walikuwa strict kwa sababu za kiusalama, tulikuwa bado tuna hofu ya wakoloni kwamba possibly wangeweza kuturudi kwa kutumia sisi wenyewe. Enzi za Mwinyi na Mkapa watu walikuwa wameshazoea Ikulu ya enzi za mwalimu,..., sasa hivi JK kafungua mlango!
 
Mimi sio msafi lakini huyu dogo hajatulia, hawezi kuwa kioo cha jamii kama msanii sijui JK anatoa picha gani kwa jamii!!!

Watoto wakivuta unga tunasema, wakibaka watu mtaani tunasema, wakipata pesa na umaarufu bado inaleta shida. Hivi tunataka hawa watoto wafanye nini hasa ndiyo turidhike? Nadhani inabidi tuanzishe JF WAZAZI FORUM kuweza kuyaweka haya mabo sawa. Wakati mwingine mambo yetu yanakwama sababu tu ya " negative wishful thinkings" zetu kwa wengine. WE NEED TO CHANGE!
 
Hapo ukute tayari dogo anampigia mahesabu mama wa watu,maanake dogo kwa uchafuzi wa mabinti anajitahidi,mpaka saa inasemekana kashatoka na warembo 13!!!!!!!!!!!!!!!
 

Kiprotokali na kiheshima, mkubwa hawezi kukaa pembeni ya picha ambayo itashirikisha watu zaidi ya watatu, JK ndio alipaswa kukaa katikati na huyo Msanii angekaa kushoto kwa JK,
Picha haina tafsiri nzuri
 
very bad! dogo amepiga picha na prezidaa akiwa na nguo hizo!!! bora hata angevalishwa nguo za kijani!

Hawa wasanii wetu hawafundishwi Public Relations, ndo maana wengi hawajui wapi wavae vipi. Sa manguo gani hayo ya kuvaa mbele ya rais. Utadhani kavaa vinguo vya mdogo wake. Halafu ni vinguo vya timu gani sijui maskini. Anyway ndio standard ambayo watanzania tupo kwa sasa inabidi tuendelee kuishi na hii standard yetu hadi huko tutakapo improve
 
Raisi JK huo ni mwendelezo wa kupiga na wasanii wanao hit, nasubiri afunge safari aende spain akapige picha na Leo Messi
 
Hayo maandishi ya ccm yameandikwa sehemu nzuri.Hiyo nguo dogo aliyovaa juu sio ya Wema mbona haijamwenea?
 
Back
Top Bottom