Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,684
- 1,699
Ninavoelewa mie JK ni kifupi cha ama Julius Kambarage au Jakaya Kikwete. sasa ili kutofautisha mhusika wa kifupi hicho ni vema tukaachana nacho na kama tunataka kutumia vifupisho vya hawa viongozi wetu ni bora kutumia kwa majina yote matatu kama:-
Julius Kambarage Nyerere - JKN na
Jakaya Mrisho Kikwete - JMK.
Vinginevo inachanganya.
Julius Kambarage Nyerere - JKN na
Jakaya Mrisho Kikwete - JMK.
Vinginevo inachanganya.