JK kweli anapenda masuala laini laini...........kama kupanda miti............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kweli anapenda masuala laini laini...........kama kupanda miti.............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Jan 14, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  PRESIDENT Jakaya Kikwete applies fertiliser to a mango seedling soon after launching a fertiliser storage facility in Dar es Salaam on Thursday. Left is Agriculture, Food Security and Co-operatives Minister Professor Jumanne Maghembe while second left (partly hidden) is Transport Minister Omari Nundu. (Photo by Yusuf Badi)
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Ukimtafuta JK kwenye masuala nyeti kama DOWANS au KATIBA mpya ...........the man is missing in action.................A.W.O.L..........How pathetic..........................
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Simpendi huyu kiongozi wetu
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  akitoka hapo anaenda kubembea, then kucheza kiduku, hayo ndio ya msingi kwake
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180

  kiongozi wenu...mi simo
  !
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mama,mama,mama, hivi huyu bwana akikupigia simu ukutane naye Bahamas ndani ya Yatch lake utakataa?
   
 7. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hunishindi mimi ila si kiongozi wangu ni wenu mana ni bora kuishi bila kiongozi kuliko kuwa na kiongozi type hii.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Nyau,
  Wakafanye nini tena?Akianguka je?
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Una maana gani Maria? Humpendi kivipi?
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa kupenda kutandikiwa mikeka tu hajambo mkuu huyu
   
 12. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hata mi si kiongozi wangu.........
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mtalaamu wa kiduuuku!
   
 14. K

  Kiti JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Anaweka mbolea wakati nchi za ulaya na marekani zinataka mazao yanayoagizwa toka Huku kwetu yasiwekewe artificial fertilizers. Hayo maembe tutauza ulaya na marekani tukiweka hizo kemikali? Au itabidi yatuue sisi wenyewe? Mimi nilifikiri alitakiwa ahimize mbolea za asili? Nawasilisha
   
 15. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Jana nilibahatika kumuuliza kama amewahi kupita hapa Jamii Forums Where We Dare to Talk Openly, akaniambia hajawahi kupita hapa. Pia, akaongeza kwamba wasaidizi wake hawajawahi kumwambia kuwa hili jamvi lina exist!!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Ninadhani kuwa kuna mambo mengine huwa haanguki wakati anayashughulikia.......
   
 17. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hebu angalia hao wanaomzunguka walivo wazito...! Vitambi, suti over size, afya mbovu, hamna ukakamavu wa aina yoyote...! Hivi hakuna mtu anaeshughulikia Public Appearance, even dressing and event etiquettes kwa viongozi wetu wa Serikali?

  Unaenda kupanda mti ukiwa na suti?
   
 18. A

  Awo JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Halafu anamwagia maji kwa kutumia glass!!! Total lack of seriousness.
   
 19. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lakini wandugu si tuna sera ya kilimo? sasa bila ya kuonyesha msisitizo tutafanikiwa kweli
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni wasanii tu wameshindwa hata kuleta watering-can ya kumwagilia maji badala yake wanatumia glass za kunywea maji kumwagia huo muembe wao!! Utani mtupu kama vile wanavyocheza kiduku!
   
Loading...