JK kwa mauno ninamvulia kofia................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
12_11_83nwy4.jpg

President Jakaya Kikwete (third left) waves to traditional dancers on arrival at Entebbe Airport in Uganda to attend the Great Lakes Summit on war Against Gender-based/Sexual Violence in Kampala on Thursday.(Photo by State House)
 
unapoona mkuu wa nchi ananyanyamia miguu na tabasamu lisilo na mipaka basi itabidi ukubaliane nami.........jamaa huyo anahusudu mauno kwa kuwa humsisimua damu...................hii kazi ya siasa basi tu ni kwa ajili ya mkate alkini mauno akiona yanatikiswa hapo amefikishwa.........
 
Ngoma ni moja ya kitu wanachohusudu saana kabila hili. Anaweza akaahirisha shughuli muhimu ili aende ngomani. Si mwanmume si mwanamke, hufikia hadi poit ya kuuza shamba ili wacheze ngoma.
 
Kila Ijumaa kuna "ngoma" eneo lote la Wilaya ya Bwagamoyo na "kumtoa mwali" pia!
 
unapoona mkuu wa nchi ananyanyamia miguu na tabasamu lisilo na mipaka basi itabidi ukubaliane nami.........jamaa huyo anahusudu mauno kwa kuwa humsisimua damu...................hii kazi ya siasa basi tu ni kwa ajili ya mkate alkini mauno akiona yanatikiswa hapo amefikishwa.........

eti enhee kumbe mkuu wa kaya noma..
 
Back
Top Bottom