Ndio kafika muda huu,na sasa ni saa kumi na mbili tayari
Ndio kafika muda huu,na sasa ni saa kumi na mbili tayari
Yupo Songea kwenye mkutano wa siku ya walimu. Inasemekana kulikuwa na malumbano kidogo wakati wa kuanza mkutano na hivyo kusababisha uanze kwa kuchelewa. Muweni na subira, ataingia muda si mrefu.
Hahaaaah!ni yoga hiyo
du tuleteeni zaidi za huko songea tunataka kujua walimu wanasemaje kuhusu chama chetu jamanivipi bado anaendelea? Kuna taarifa nimezipata toka ikulu,zinasema kuwa imetumwa ambulance hapo kwaajili ya tahadhari maana uko songea wame mtibua kweli kweli na ameondoka uko akiwa amekasirika sana hivyo chochote chaweza kutokea hapo leo... Urassa usicheze mbali nae maana utaleta breaking news nyingine mda siyo mrefu.
amemaliza kuvunja sheria ya uchaguzi hapa ameondokavipi bado anaendelea? Kuna taarifa nimezipata toka ikulu,zinasema kuwa imetumwa ambulance hapo kwaajili ya tahadhari maana uko songea wame mtibua kweli kweli na ameondoka uko akiwa amekasirika sana hivyo chochote chaweza kutokea hapo leo... Urassa usicheze mbali nae maana utaleta breaking news nyingine mda siyo mrefu.
IS Like ur joking eeh Sheria ipi ile aliyosaini kwa mbwembwe kibao pale mjengoni!???amemaliza kuvunja sheria ya uchaguzi hapa ameondoka