Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
hakuna haja ya rais kukutana na chadema... JK pekee sio solution ya matatizo yaliyopo, kwani inaonekana hata ndani ya chama hana hizo nguvu tunazotegemea awe nazo:hand:
Tendwa anaelewa anachokifanya,uwezo wake wa kufikiri ni mkubwa.Tatizo kubwa linalomsumbua ni kulipa fadhari kwa mteule wake!!Ila ndivyo walivyopendekeza ili kuwe na maelewano na chadema . Ila John Tendwa uwezo wake wa kufikiri umefika tamati kwa kuendeshwa kama gurudumu bovu kwani anafikiria ndio litakuwa sululisho badala ya Raisi kusikiliza hoja za chadema na kutatua matatizo yanayowakuta watazania na hali ngumu ya maisha.
CHADEMA kukutana na JK ili iweje?...hoja hapa ni maisha magumu kwa mtanzania, ufisadi, uzembe &kutowajibika n.k; so wanachokifanya CHADEMA mikoani ni kuzidi kuwariji wananchi na kuwaelezea sababu ya umaskini wao na maisha magumu, hakuna haja ya kukutana na JK....kwani wakikutana wataamua maisha kuwa matamu?ufisadi kuisha n.k?
Katika vugu vugu la chadema kuendelea na maandamano nchi zima ambayo yameleta hofu kubwa kwa ccm na serikali yake, na pia kusababisha vyama vya siasa jana kukutana kwa dharura kutatua mzozo huo ila wamependekeza rais Jakaya Mrisho Kikwete kukutana na chadema na kuzungumza ili pawe na maelewano na chadema.
My take:
Sidhani kama Chadema na JK kutakuwa na maelewano kwani JK ameshindwa kujibu hoja za chadema na maisha yanaendelea kuwa magumu na uchumi unaendelea kudorora. Kama jana vyama vya siasa vilipokutana vilishindwa kuelewana je JK ATAWEZA?
Inaonyesha jinsi gani chombo anachoongoza Tendwa hakiko huruIla ndivyo walivyopendekeza ili kuwe na maelewano na chadema . Ila John Tendwa uwezo wake wa kufikiri umefika tamati kwa kuendeshwa kama gurudumu bovu kwani anafikiria ndio litakuwa sululisho badala ya Raisi kusikiliza hoja za chadema na kutatua matatizo yanayowakuta watazania na hali ngumu ya maisha.
Wewe Do-Santos mbona ni mwongo saana???????? Sasa chama cha siasa kazi yake ni nini, kukaa na kubweteka wangoje uchaguzi?????????? Wewe umelala, serikali itekeleze matakwa ya wananchi vinginevyo watu wanao wa kuwasemea na watatafuta mkakati wa kujikwamua. JK awaweke mfisadi wote ndani na fedha zetu wailizoiba ziletwe ziingizwe kwenye Budget kunusuru mpolomoko wa uchumi!! CDM wanajua wanalo lifanya usitake kutupotezea, hata wewe unajua unajifanya kubwa jinga hapa. Changia njia mbadala za kujikomboa kiuchumi sasa hivi sio kesho Ndg!!!maisha magumu mpaka watu waambiwe ni magumu? Kwani watu hawayaoni? Mbona Rais JK ktk hotuba yake amekiri kwamba maisha ni magumu.CDM wakiwahutubia watu maisha ni magumu ndo yanabadilika au kuwapotezea watu muda wa kuhangaikia maisha yao yawe mepesi. Maandamano hayana tija kwa mtz,ila ipo ajenda ambayo wewe huijui unafuata mkumbo. Kama hamkueleweka ktk kampeni ndo mtaeleweka sasa
Wakuu,
Nisichoelewa ni kwamba kwani kuna tatizo gani kati ya Rais na CDM?...labda mimi sijawa uptodate na hilo...sijaona situation inayofanya cdm kukutana na JK!..Kwani DAMU ishamwagika mahali?...CDM wako mtaani wanafanya siasa za kawaida, tatizo limetokea wapi?...wakikutana na JK itaonekana wanakiri kwamba kweli wamefanya uchochezi, na hivyo namna fulani ya arbitration inatakiwa!...Hell Noooo tto this!!...Iwould suggest(ikilazimu sana kukutana), huyo mtu anayetakiwa kuongea na cdm awe ni mwinginewe, apart fromJK(MAANA AMEPROVE FAILURE KWENYE KILA KITU KWA SASA)!
hayo maandamano yamepunguza makali ya maisha? Wahimize wananchi kufanya kazi. Mbona hawaelezi serikali nini cha kufanya maisha yawe bora.Baada ya maandamano na mikutano huko mwz,bukoba,mara,shy, je maisha yamebadilika? Huu si muda wa kampeni,waacheni wananchi wafanye shughuli zao.Slaa anakipeleka vibaya chama watu washamchoka kila siku kasema hili mara lile,utekelezaji zero.Wewe Do-Santos mbona ni mwongo saana???????? Sasa chama cha siasa kazi yake ni nini, kukaa na kubweteka wangoje uchaguzi?????????? Wewe umelala, serikali itekeleze matakwa ya wananchi vinginevyo watu wanao wa kuwasemea na watatafuta mkakati wa kujikwamua. JK awaweke mfisadi wote ndani na fedha zetu wailizoiba ziletwe ziingizwe kwenye Budget kunusuru mpolomoko wa uchumi!! CDM wanajua wanalo lifanya usitake kutupotezea, hata wewe unajua unajifanya kubwa jinga hapa. Changia njia mbadala za kujikomboa kiuchumi sasa hivi sio kesho Ndg!!!
Tunahitaji maisha bora kwa kila Mtanzania hiyo ni hahadi ya JK. Taabu na shida ni za wote!!!
Ndoto ya madaraka. JK hana sababu ya kukutana na cdm. Kwa kipi hasa,wachochee watu kufanya uasi halafu watake mazungumzo na Rais.Hawana jipya waendelee na maandamano mazungumzo ya nini. Na wao wanataka kuingia serikalini kama cuf.Waendelee kupost thread humu JF
Siku wakimchoka Dr Slaa tayari kashalikomboa taifa dhidi ya hawa wakoloni weusi kwani baada ya kuelimisha jamii umasikini wao unaletwa na serikali ya ccm, haiwezekani Arusha,Shinyanga pawe na madini yakutosha ila utasikia Kenya na Afrika kusini ndio main Suppliers wa madini yetu. So wewe Do santos unafurahii watanzania kuwa wachuhuzi mpaka lini kama viongozi uliowaweka madarakani they have poor strategic planning juu ya kuendeleza uchumi na maendeleo ya kijamii hawana tija tena ktk taifa letu.hayo maandamano yamepunguza makali ya maisha? Wahimize wananchi kufanya kazi. Mbona hawaelezi serikali nini cha kufanya maisha yawe bora.Baada ya maandamano na mikutano huko mwz,bukoba,mara,shy, je maisha yamebadilika? Huu si muda wa kampeni,waacheni wananchi wafanye shughuli zao.Slaa anakipeleka vibaya chama watu washamchoka kila siku kasema hili mara lile,utekelezaji zero.
maisha magumu mpaka watu waambiwe ni magumu? Kwani watu hawayaoni? Mbona Rais JK ktk hotuba yake amekiri kwamba maisha ni magumu.CDM wakiwahutubia watu maisha ni magumu ndo yanabadilika au kuwapotezea watu muda wa kuhangaikia maisha yao yawe mepesi. Maandamano hayana tija kwa mtz,ila ipo ajenda ambayo wewe huijui unafuata mkumbo. Kama hamkueleweka ktk kampeni ndo mtaeleweka sasa
Wewe Do-Santos mbona ni mwongo saana???????? Sasa chama cha siasa kazi yake ni nini, kukaa na kubweteka wangoje uchaguzi?????????? Wewe umelala, serikali itekeleze matakwa ya wananchi vinginevyo watu wanao wa kuwasemea na watatafuta mkakati wa kujikwamua. JK awaweke mfisadi wote ndani na fedha zetu wailizoiba ziletwe ziingizwe kwenye Budget kunusuru mpolomoko wa uchumi!! CDM wanajua wanalo lifanya usitake kutupotezea, hata wewe unajua unajifanya kubwa jinga hapa. Changia njia mbadala za kujikomboa kiuchumi sasa hivi sio kesho Ndg!!!
Tunahitaji maisha bora kwa kila Mtanzania hiyo ni hahadi ya JK. Taabu na shida ni za wote!!!
Ndoto ya madaraka. JK hana sababu ya kukutana na cdm. Kwa kipi hasa,wachochee watu kufanya uasi halafu watake mazungumzo na Rais.Hawana jipya waendelee na maandamano mazungumzo ya nini. Na wao wanataka kuingia serikalini kama cuf.Waendelee kupost thread humu JF
katika vugu vugu la chadema kuendelea na maandamano nchi zima ambayo yameleta hofu kubwa kwa ccm na serikali yake, na pia kusababisha vyama vya siasa jana kukutana kwa dharura kutatua mzozo huo ila wamependekeza rais jakaya mrisho kikwete kukutana na chadema na kuzungumza ili pawe na maelewano na chadema.
My take:
Sidhani kama chadema na jk kutakuwa na maelewano kwani jk ameshindwa kujibu hoja za chadema na maisha yanaendelea kuwa magumu na uchumi unaendelea kudorora. Kama jana vyama vya siasa vilipokutana vilishindwa kuelewana je jk ataweza?