Ila ndivyo walivyopendekeza ili kuwe na maelewano na chadema . Ila John Tendwa uwezo wake wa kufikiri umefika tamati kwa kuendeshwa kama gurudumu bovu kwani anafikiria ndio litakuwa sululisho badala ya Raisi kusikiliza hoja za chadema na kutatua matatizo yanayowakuta watazania na hali ngumu ya maisha.hakuna haja ya rais kukutana na chadema... JK pekee sio solution ya matatizo yaliyopo, kwani inaonekana hata ndani ya chama hana hizo nguvu tunazotegemea awe nazo:hand:
walikuwepo tyena CDM wamekaza uzi na kuwaambia maandamano zaidi yatafuata sasa ni zamu ya kanda ya kusini baada ya bunge la april na moja ya maazimio ya kikao hicho wameishauri serikali kuangalia uwezekano wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika URT.Kwenye kikao cha baraza hilo je kulikuwa na mjumbe toka CDM NA CCM
Katika vugu vugu la chadema kuendelea na maandamano nchi zima ambayo yameleta hofu kubwa kwa ccm na serikali yake, na pia kusababisha vyama vya siasa jana kukutana kwa dharura kutatua mzozo huo ila wamependekeza rais Jakaya Mrisho Kikwete kukutana na chadema na kuzungumza ili pawe na maelewano na chadema.
My take:
Sidhani kama Chadema na JK kutakuwa na maelewano kwani JK ameshindwa kujibu hoja za chadema na maisha yanaendelea kuwa magumu na uchumi unaendelea kudorora. Kama jana vyama vya siasa vilipokutana vilishindwa kuelewana je JK ATAWEZA?
Ila ndivyo walivyopendekeza ili kuwe na maelewano na chadema . Ila John Tendwa uwezo wake wa kufikiri umefika tamati kwa kuendeshwa kama gurudumu bovu kwani anafikiria ndio litakuwa sululisho badala ya Raisi kusikiliza hoja za chadema na kutatua matatizo yanayowakuta watazania na hali ngumu ya maisha.
walikuwepo tyena CDM wamekaza uzi na kuwaambia maandamano zaidi yatafuata sasa ni zamu ya kanda ya kusini baada ya bunge la april na moja ya maazimio ya kikao hicho wameishauri serikali kuangalia uwezekano wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika URT.
Ndoto ya madaraka. JK hana sababu ya kukutana na cdm. Kwa kipi hasa,wachochee watu kufanya uasi halafu watake mazungumzo na Rais.Hawana jipya waendelee na maandamano mazungumzo ya nini. Na wao wanataka kuingia serikalini kama cuf.Waendelee kupost thread humu JF
Wakuu,
Nisichoelewa ni kwamba kwani kuna tatizo gani kati ya Rais na CDM?...labda mimi sijawa uptodate na hilo...sijaona situation inayofanya cdm kukutana na JK!..Kwani DAMU ishamwagika mahali?...CDM wako mtaani wanafanya siasa za kawaida, tatizo limetokea wapi?...wakikutana na JK itaonekana wanakiri kwamba kweli wamefanya uchochezi, na hivyo namna fulani ya arbitration inatakiwa!...Hell Noooo tto this!!...Iwould suggest(ikilazimu sana kukutana), huyo mtu anayetakiwa kuongea na cdm awe ni mwinginewe, apart fromJK(MAANA AMEPROVE FAILURE KWENYE KILA KITU KWA SASA)!
Chadema mnafanya vizuri sana,maana kama hawataki kuwasikiliza bungeni na wakati tuliwatuma wakatusemee badala yake wanatetea maslahi ya chama na maisha yao njoni mtueleze sisi tunawaunga mkono na ndiyo dawa itapatikana.Dos santos usioneshe uwezo wako mdogo wa kufikili swala sio uongozi bali hatima ya maisha yetu,hatuna interest na uongozi maana wote hatuwezi kuwa viongozi tunataka ajila,ufisadi uishe,umeme,bei nzuri nk. nyie ndiyo mnaomdanganya Rais wetu na kumchanyanya na maneno ya uongo.
No preconditions.