Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;
1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Utasikia anasema,'Asiyetaka nisafiri ana lake Jambo.'
Kamanda in chifu ana "rap" saa ngapi wana jf?
Mwambieni Maneno yake laini laini tushayazoea hivyo.... #TUNASUBIRI MAAMUZI MAGUMU juu ya MUSWADA wa sheria ya Rasimu ya KATIBA.
hivi karudi bongo hyo MARCO POLO?
Si mseme tu hotuba hakuna.
Itakuwa ni taarabu
Wakuu hotuba ya Rais saa ngapi?
inanikumbusha siku ya mkutano wa simba rage aliongea sana safar zake za nje tuuuu na mipesa alivyouza wachezaji wakati timu ikiwa na hali mbaya sana, ila kuna mwanachama bibi hindu akasimama na kumhuliza swali zuri sana kuwa KWANINI TUSITAFAKARI KUHUSU SIMBA ILIVYOKUWA, SASA NA BAADAYE KULIKO SAFAR ZAKO rage akamtishia kumfuta uanachama, ndio leo
Kwani Wassira na Chikawe wamempa ruhusa?
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Utatuwakilisha wengine tuko kwenye kitimoto na Ndovu baridiiiiiiii!