JK kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kiboko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, May 4, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kuanzia jumatatu magazeti na wadau mbali mbali wa siasa walikuwa wakisema kuwa rais Kikwete atabadilisha baraza la mawaziri muda wowote kuanzia sasa,hivi mpaka leo ijumaa huo muda wowote haujafika?au ndo ule usanii wa JK unaendelea!kweli Kikwete ni noma mie nadhani hajafurahia kulibadili baraza lake la mawaziri na ameshinikizwa ndo maana amechelewa kulibadili baraza lake hadi leo hii.
   
Loading...