JK kaendeleza staili zake

mwana wa mtu

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
220
53
Wakati mambo yakiwa yamepamba moto 'Katiba mpya, katiba mpya,katiba'..JK kwenye hotuba yake 'amechombeza' kuwa nae anawiwa na suala hilo..na hivyo atahakikisha linafanyiwa kazi katika kipindi chake..mmmh..Ukifikiri kwa ndani saaana,unapata mashaka makubwa sana:frown: kuamini kuwa jamaa ana nia ya dhati...sjui wenzangu mnalionaje hili....!
 
Anatuliza mungari wa watu ili apotezee. muda utaenda polepole mara 2015 katiba haitaanza kutumika maana wapendwa wake kina RA, EL, AC watakuwa wamejiweka sawa
 
Back
Top Bottom