Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Feb 19, 2011 Thread starter #41 Haya tena!milipuko milipuko! GONGO LA MBOTO.naona hii awamu ya pili imeshakua ndefu. Sasa kanali JK hata masuala ya usalama inashindikana? 'Yangu macho' time will tell.
Haya tena!milipuko milipuko! GONGO LA MBOTO.naona hii awamu ya pili imeshakua ndefu. Sasa kanali JK hata masuala ya usalama inashindikana? 'Yangu macho' time will tell.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Feb 19, 2011 #42 Mkisha kuwa na rais mzembe anayewapapatikia mafisadi mtakoma ubishi.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 May 24, 2011 Thread starter #43 Naona mkulu ameamua rasmi kuwatosa wastaafu wazee wa east africa.kumbuka tegemeo la ccm kwa sasa ni wazee na wakinamama.
Naona mkulu ameamua rasmi kuwatosa wastaafu wazee wa east africa.kumbuka tegemeo la ccm kwa sasa ni wazee na wakinamama.
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 May 24, 2011 #44 mien sio mnajimu kama wengine ambao juzi kati hapa wameaga. lakini kwa hili naunga mkono 100% mkw ere anaweza asitoboe 2011
mien sio mnajimu kama wengine ambao juzi kati hapa wameaga. lakini kwa hili naunga mkono 100% mkw ere anaweza asitoboe 2011
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Jul 23, 2011 Thread starter #45 Mkuu wa nchi angalia sana suala la umeme lisije kuwa chanzo cha kufupisha utawala wako.ni maoni tu mimi sio mtabiri!
Mkuu wa nchi angalia sana suala la umeme lisije kuwa chanzo cha kufupisha utawala wako.ni maoni tu mimi sio mtabiri!
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Nov 26, 2011 Thread starter #46 naona EL kaamua kukuvalisha gamba!
Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,540 Nov 26, 2011 #47 Utatoboa meku?
luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Nov 27, 2011 #48 sidhani, kama ni mjamzito basi kaanza kupata uchungu akiwa na miezi miwili,kwa hali hiyo atatoba tisa kweli,mmh, kalilia wembe
sidhani, kama ni mjamzito basi kaanza kupata uchungu akiwa na miezi miwili,kwa hali hiyo atatoba tisa kweli,mmh, kalilia wembe
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Nov 27, 2011 #49 Jackbauer said: Mkuu wa nchi angalia sana suala la umeme lisije kuwa chanzo cha kufupisha utawala wako.ni maoni tu mimi sio mtabiri! Click to expand... Wewe sio mtabiri? Tehe tehehehe''wewe ni nani sasa?
Jackbauer said: Mkuu wa nchi angalia sana suala la umeme lisije kuwa chanzo cha kufupisha utawala wako.ni maoni tu mimi sio mtabiri! Click to expand... Wewe sio mtabiri? Tehe tehehehe''wewe ni nani sasa?