Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Kipo inamaana huoni na husikii makombora anayotupiwa humu?!Hata kama mmemchoka hakuna cha kufanya
Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this one. JK ameweza kuwa frustrate watanzania na kila right yao wakaiona ni favor. Mfano Umeme usipokatika utasikia watu wanasema he leo vipi, maji hivyo hivyo, mafuta yakishuka bei hata shs 50 sherehe, sukari ikipatikana kwa urahisi watu wanasheherekea. Itafika sehemu hata mshahara watanzania wataona ni favor pia.
Akili zetu zimetekwa kiasi kwamba hazitofautiani na yule jamaa aliyetoka Geita kwa baiskeli kuja ikulu kumpongeza Kikwete.Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this one. JK ameweza kuwa frustrate watanzania na kila right yao wakaiona ni favor. Mfano Umeme usipokatika utasikia watu wanasema he leo vipi, maji hivyo hivyo, mafuta yakishuka bei hata shs 50 sherehe, sukari ikipatikana kwa urahisi watu wanasheherekea. Itafika sehemu hata mshahara watanzania wataona ni favor pia.
lakini labda ni kweli, ingekuwa ni haki wangefikiri tofauti. Hujawahi kuona mtu anamshukuru sana Rais kwa kuja kuwatembelea? Siwezi kusahau siku Mkapa alipoenda Mwanza baada ya ajali ya MV Bukoba, Mkuu wa Mkoa anamkaribisha Rais na kusema "Tunashukuru umeacha shughuli zako na kuja Mwanza!"!!!!
Akili zetu zimetekwa kiasi kwamba hazitofautiani na yule jamaa aliyetoka Geita kwa baiskeli kuja ikulu kumpongeza Kikwete.
Ni mtazamo wa kila mmoja: na mwenye kufikiria kwa kina lazima ataungana na NOT ENOUGH.