NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
maombi zaidi yahitajika!
Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this one. JK ameweza kuwa frustrate watanzania na kila right yao wakaiona ni favor. Mfano Umeme usipokatika utasikia watu wanasema he leo vipi, maji hivyo hivyo, mafuta yakishuka bei hata shs 50 sherehe, sukari ikipatikana kwa urahisi watu wanasheherekea. Itafika sehemu hata mshahara watanzania wataona ni favor pia.
if possibo.........mambi ya nini sasa aongezewe miaka mingine??
Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
nimeogopa bun tuu! Ila wewe huna kitu kichwani au udini umekuzidi pumbavu mkubwa wewe!matatizo ya umeme na maji jmk kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni jmk ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
Sasa hivi tuna akiba ya kununulia vyote tunavyohitaji kutoka nje kwa miezi sita ijayo (ni akiba kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki) aliwachiwa ya kutosha mwezi mmoja kama sikosei. Chakula tunacho maghalani hilo pekee ni jambo jema kabisa alilofanya JMK, unakumbuka njaa ya 2005 aliyowachiwa? Au umesha sahau? Akasema atafanya kila njia "hafi mtu kwa njaa". Leo hata kwa hayo bdo ni mbaya tu?Mkapa alimuachia Shingapi hazina na leo zimo ngapi kwa kazifanyia kazi gani? Jamaa anafanya kila kitu in opposite way kama alivyosema NOT ENOUGH! Na kwa hasira ya Mungu anatunyima mvua na kuruhusu mapigo kwa Taifa kama surua ili tukome kwa ujinga wetu wa kuruhusu viongozi wachovu kuongoza nchi.Sasa hivi wamefungulia Maghala ya chakula ya Taifa bila kusoma alama za nyakati kuwa huko mbele kuna njaa inakuja, siku maghala yatakapo kuwa meupe ndo joto ya jiwe tutaitambua! Amewaudhi viongozi wa Dini kwa kuwaambia wanafanya biashara ya madawa ya kulevya huku akiwachekea mafisadi! Ghadhabu ya Mungu inakuja!
Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.