Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,016
- 24,964
....lol..............Prof.............kuna special invitation kwa president wetu aisee...........hapo hujamtendea haki JK kumlinganisha na yule Mama Waziri wetu..........kutokwenda kwa presidents wengine wa Afrika haina maana mkutano ule hauna uzito wa JK kuhudhuria.............
Asante sana kwa ufafanuzi kuwa Mzee kaalikwa, ila bado nina imani kuwa angeweza kuwa represented. Siyo kweli kuwa jamaa hao wa IDEAS hawakualika viongozi wengine wa Afrika, walifanya hivyo ila viongozi wenyewe ndio waliopima umuhimu wa wao kwenda physically wakaamua kutuma representatives. Kikwete naye angefanya hivyo: angemtuma Shein, Pinda, Sofia Simba !!!
BTW: Unakumbuka ile skendo ya yule mama na balozi Mwasakafyuka?? Nasikia balozi Mwaka alishafariki na yule mama yeye bado anaduna New York ambapo kuna wakati alikuwa analipwa mishahara miwili.