JK bado hafikirii kushindwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK bado hafikirii kushindwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Aug 15, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika makala yake ya leo, Ansbert Ngurumo amejadili suala nyeti na ndani yake kuna tuhuma za hujuma za kimafia zikifanywa na wasaidizi wake juu ya wagombea ambao wanaonekana kuwa tishio kwake. Kama kweli kuna serikali kwa ajiri ya watu, natarajia angalau Ngurumo ataombwa ushirikiano wake ili avisaidie vyombo vya dola juu ya yale aliyoyaandika ama vyombo hivyo viyafanyie kazi juu ya tuhuma alizotoa, vinginevyo itakuwa ni hatari kwa mstakabali wa amani na umoja wa taifa letu.

  Habari yenyewe iko hapa

  JK bado hafikirii kushindwa?
   
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa hio niuongo? mmmh, bila shaka una uraia wa nchi mbili
   
Loading...