JK awasili Poland leo

JK awasili Poland leo

Mkutano wa jumuia ya madola ushaisha? JK kala miguu ya kuku sijui...kiguu na njia...hana hata muda wa kukutana Na wenzie wa jumuia ya Afrika ya mashariki.
 
Ninafikiri ni uzushi. Kama sio uzushi, basi Mhe Dkt JK kazi anayo! Rais wa nchi, waziri wa mambo ya nchi za nje huyo huyo, waziri wa mazingira na tabianchi huyo huyo, mkurugenzi wa kitengo cha tabianchi huyo huyo! Kuna haja ya Katiba Mpya kuweka kwa uwazi ni mikutano ipi, makongamano yapi , na semina na warsha zipi Rais (simaanishi JK, namaanisha Rais wa JMT) anastahiki kuhudhuria sio kwa nia mbaya au wivu wa kike bali kulinda hadhi ya urais wa JMT!
 
kabisa! vinginevyo tutakuja chagua Vasco Dagama!
 
Juzi alikuwa Sri Lanka nilifikiri amerudi kumbe ni juu kwa juu. Kazi ipo
 
khaaaa... Ila hili wala sio jambo la kushangaza kwa JK! JK ni mzigo kwa walipa kodi wa nchi hii, hivi gharama ya kulipa delegates kwa safari moja tu ni ngapi? This country sucks
 
Kwani siku hizi pale msoga walishajua kutengeneza mahumbug na cakes?
Jamaa alishawaambia mnataka akae hapo pwani ili muwe mnachangia nae mihogo?!!

" I'll be taking flights day and night as long as I don't feel like a person deservedly eating cassava."

Sri Lanka -Poland -the other day round?!!!
a question crosses the floor to flight towers!!!
 
Mpaka wakati anang'atuka atakua kamaliza nchi zote duniani
 
Kesha kuwa Antonio Nugas Mzee WA kambi popote na akitoka Yuko utasikia Yuko Palestina.
 
Mkutano wa jumuia ya madola ushaisha? JK kala miguu ya kuku sijui...kiguu na njia...hana hata muda wa kukutana Na wenzie wa jumuia ya Afrika ya mashariki.

Kama mwanamke wa KIZARAMO na NGOMA. au TEJA na MNANDA.
yani hata shughuli iwe MBAGALA yeye yupo KIBAHA ataenda.
Teja Mnanda uwe Mbagala yeye yupo Tandale ataenda tu.
 
Si angemwachia mzee wa mikasi naye akaoshe macho? Maana hIi 'tabianchi' inaangukia kwenye ofisi yake!
 
Back
Top Bottom