JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
Rais wetu JK Ameondoka leo hii mchana kwenda Malabo huko Guinea ya Ikweta kikazi. Atarejea nchini mwishoni mwa wiki.
 
Huyo raisi wa Guinee equatorial ana kashfa za ufisadi zinajulikana dunia nzima.Raisi wetu kaenda kufanya nini huko?kujifunza jinsi ya kufisadi mafuta na gas au?
 
Kuna ile picha iliwekwa kwenye gazeti mwananchi niliipenda sana. Walimuonyesha JK akiwa kwenye ofisi yake kwenye ndege!
 
mpk mbunge mmoja jana ameliambia bunge kuwa rais kikwete anaitwa vasco da gama wa tanzania kutokana na wingi wa safari za nje
 
Last edited by a moderator:
Rais wetu JK Ameondoka leo hii mchana kwenda Malabo huko Guinea ya Ikweta kikazi. Atarejea nchini mwishoni mwa wiki.
Hivi ile thread ya safari za kikwete nje ya nchi huwa inakuwa updated kila wakati?Sijui nani alitudanganya kuwa MUENEKANO WA SURA unarandana na utendaji wa kazi na UWEZO WA KUFIKIRI.
 
Jk traveler sana,ulikuwa baria wa jahazi kipindi hicho pale bagamoyo kwa hiyo huyu kusafiri kukokwenye damu.
 
wasanii wa guinea ni wakati wenu wa kufaidiks sasa rais wetu anapenda sanaa
 
Kama wapambe wa jk hawajajenga na kununua mipira ya kifahari, basi hiyo bahati haitawarudia kamwe.
 
HE !!!,kuna nini tena,jamani pale magogoni kuna washawasha au nini?.....da rais wetu kwa safari....hapendi kabisa kukaa dar,akirudi huyooo mikoani.
 
The hammer kweli kazi tunayo. Tusirudia makosa 2015
Mr.umeshawahi kuongea na sample ndogo tu ukapima uelewa wa Watanzania,kama bado jaribu utapata jibu....sizungumzii mabadiliko hayawezekani but wale wasiopiga kura ndio huwa wanatuchagulia viongozi wetu,believe me
 
Anajua kuwa umeme umekatika nchi nzima?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Aende na Somalia na Djibouti ili awe amekamilisha kutembelea nchi zote za Africa!
 
dr.Fast jet on the move.....,.go...go.., DOCTOR!! go...
 
Nchi corrupt kweli kweli. Licha kuwa ya tatu Africa kwa kuzalisha mafuta na kuwa na idadi ndogo ya rai isiyozidi laki sita wananchi wa Guinea maskini wa kutupa. Per capita income zaidi ya $ 50000 ila pesa zote zinaishia mikononi mwa wajanja wachache. Equatorial Guinea is one of the world's
wealthier nations, with a per capita gross
domestic product (GDP) greater than that
of Italy, South Korea, or Saudi Arabia. Yet
the country’s citizens live in desperate
poverty, with over 60 percent struggling to
survive on less than $1 a day. Despite
abundant natural resources—especially oil
and gas—and the billions of dollars these
resources bring in, the country is marked
by chronic hunger, a crumbling education
system, frequent blackouts, poor
sanitation, and disease. This chasm
between the country's wealth and the
poverty of its people raises a basic
question: if money from the sale of
Equatorial Guinea’s natural resources is
not benefiting its citizens, where is it
going?
The Open Society Justice Initiative is
seeking to answer this question by
investigating corruption at the highest
levels of Equatoguinean government and
society. The Justice Initiative is working
with two other human rights groups,
Asociación Pro Derechos Humanos de
España in Spain, and EG Justice in the U.S.,
to pursue remedies for the resource-
related corruption wracking Equatorial
Guinea.
These efforts have launched a criminal
investigation in Spain into alleged money-
laundering perpetrated by eleven family
relatives and other close associates of
Equatorial Guinea’s President Teodoro
Obiang Nguema. The project has also filed
a complaint with the African Commission
on Human and Peoples' Rights accusing
Obiang and his family members and
cronies of massive “spoliation"—the theft
of natural resources and attendant wealth
from the people to whom they should
belong.
This paper briefly examines government
corruption in Equatorial Guinea, how it
works, and the price paid by the country’s
citizens. It is intended to provide
background information for lawyers,
human rights advocates, and journalists
interested in corruption and its
consequences in Equatorial Guinea.
Learn More:
 
Nasikia katika sherehe za Aviation Day JK atapewa cheti cha urubani.
 
Jamaa anataka kumaliza nchi zote..gunea equtor kufanya nini..?!
 
Back
Top Bottom