JK awashauri wabunge kutembelea majimbo yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK awashauri wabunge kutembelea majimbo yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanzania, Feb 8, 2009.

 1. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hapa nakubaliana na mheshimiwa rais kuhusu utoro wa wabunge majimboni kwao.

  Halmashauri nyingi zina matatizo makubwa ya capacity, viongozi wao wengi hawana uwezo. Wabunge ni katika watu wachache ambao wana uwezo na kama wangelikuwa wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala ya hizo halmashauri wangesaidia sana. Lakini wengi wao wanashinda Dar na kwenye kamati, matokeo yake halamshauri nyingi utendaji wake mbovu sana.

  Jukumu la kwanza la mbunge lazima liwe kuwahudumia watu wa jimbo lake na sio kushinda kwenye kamati mbalimbali akikusanya pesa za mahudhurio.

  Pia pesa nyingi sana zinapotea kwenye halmashauri shauri ya kukosa uwezo na mipango mibovu. Wabunge waanze kusafisha majimbo yao kwanza kabla hata hawajafikiria kuibana serikali kuu.

   
Loading...