Hao ndio aina ya watanzania ambao wananyanyaswa kwa haki zao,lakini haohao wanashabikia watawala wakinunuliwa kwa bei nafuu,mfano yule babu wa igunga aliyekuwa anashabikia chama furani kwa midadi eti kimemkumbusha mbali ni ajabu,lakini alidai hawana huduma nzuri za mawasiliano