Jk ataka bei ya mafuta ishuke haraka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk ataka bei ya mafuta ishuke haraka sana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Dec 9, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  JK ataka bei ya mafuta ishuke

  • EWURA yataka bei za bidhaa zishushwe
  • Akiri kuwepo kwa magendo makonyo ya karafuu Pemba
  * Amwagiza Ngeleja kukutana na EWURA
  * Ahoji bei kupaa nchini, tofauti na soko la kimataifa

  NA JOSEPH BURA

   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mtanisamehe kauliza za huyu jamaa JMK zinanifanya nijizuie kucheka.Anyway mate wake huyu hapa [​IMG]
   
 3. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndiyo maana ya SOKo HURIA. Huwezi kulazimisha bei ishuke ati kwa kuwa soko la Dunia imeshuka. Market forces ndizo zitaamua ishuke au la. Njia rahis kama serikali ilivyotaka kuanza, sijui imeishia wapi, ni kuanzisha au kufufua shirika la maendeleo ya Petrol ili ku-compete. Otherwise, bei kushuka ni story hiyo. Wauzaji wenyewe wa bongo?!!

  Mbona sijawahi sikia hata siku moja serikali ikipiga kelele kuhusu nauli za boat DSM-Zanzibar. Umbali wa kilometer 78 watu wanalipa 22,500! Umeona wapi hiyo? Wale jamaa wamefanya cartel na wanauza wanavyotaka kupata super profits. Wadhitiwe wale
   
 4. R

  RWEHUMBIZA New Member

  #4
  Dec 9, 2008
  Joined: Dec 9, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi huyo dr shayo anataka naye ubunge? ni lini naye ataanza kugawa bahasha kama za Agrey marialle?
   
 5. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Natumwambie Mkuu wa kaya kuwa hizo ni kelele za bata hazimzuii simba kunywa maji.....
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Shaghalabaghala!
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wauza mafuta a Dar sio untouchables, ni watu wadogo sana ikilinganishwa na wamiliki wa boti. Unajua jinsi nchi yetu inavyoendeshwa.
   
Loading...