Acha longolongo wewe!!! Hajasema hivyo, hayo umeongezea wewe tu.
Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
Zamani wakiwa katika majukwaa ya siasa walikuwa wakitamba kuwa CCM ina hakika ya kuendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 50 ijayo! Kwa sasa confidence hiyo hawanayo tena!He is trying to read between the lines and came up with that logical argument.By the way, hzo ndio politics yote yawezekana.
Kuliko JK ampe Nchi Lowasa, heri amkabidhi nchi zito. Anamkubali zaidi zito siyo Dr Slaa.
Wapinzani bwana kwa kujikanyaga hamjambo, Na mtachonga sana wakati JK yeye kazi kwanza majungu no.Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
Kwani wewe hapo kimekuuma nini? ina maana huwamini kuwa ZITTO ni zaidi ya SLAA?Zitto Zitto Zitto hamchoki? hebu muwe mnaongea na mengine
Kwani wewe hapo kimekuuma nini? ina maana huwamini kuwa ZITTO ni zaidi ya SLAA?