JK arejea nchini!

JK arejea nchini!

Nchi iko gizani ni JANGA....kwa hesabu ya juu juu gharama ya ndege malazi na hio petrol iliyotumika ya viongozi kumsindikiza na kumpokea vinywaji pale airport wakimsubiri,Gharama ya masaa waliopoteza kwa kusababisha msongamano mjini...Inaweza kutosha kununua generator ya kuzalisha MW kadhaa

Imefika wakti wa kuhoji hizi safari zinatunufaisha vipi sisi....hakuna nchi ya kiafrika inaweza kuatua matatizo ya ivory coast ni kupoteza tu hela zetu wakti tunazihitaji zaidi


Matatizo yetu yamemshinda bado kushobokea ya wenzake. Analooooooo


 
View attachment 23854View attachment 23855 wana jf
nashindwa kuelewa kwa nini arejeapo jk kutoka majuu lazima viongozi wote muhimu waende kumpokea?kwani akienda makam wa raisi peke yake au waziri mkuu peke yake haitosho?huu ni ulimbukeni,au hawana kazi za kufanya,ndio maana tunazidi kuwa maskini.

I couldn't agree more; haihitaji PhD kujua kwamba tunapoteza a lot of valuable manhours kwa jinsi hii...
 
baba mwenye nyumba akirudi lazima apokelewe

baba gani anaenda kuzurura, kupiga soga, kucheza bao na kuombaomba ili hali familia yake ipo nyaka nyaka na mbaya zaidi baba gani anakimbia msiba nyumbani kwake anaenda kwa majilani? - msiba ukiisha anarudi home na mbaya zaidi eti apokelewe na kuchukua riporti kwa kaka wakubwa wa familia - duh.


huyu dingi wetu ni kiboko, bila kufanya kitu familia hii inateketea, hii familia inaweza kuwa ya mazezeta ohoo..
 
Kwa kweli sioni sababu ya viongozi wote kwenda kumpokea mkuu airport. Kuna umuhiomu wa kubadilika watu wafanye kazi. Lowasa alishawahi gombana kutoa amri wanafunzi wasitolewe madarasani kwenda kuhani kiongozi wa serikali badala ya kusoma. Hiyo ni kazi ya mkuu wa mkoa na wilaya.
 
ndo kazi ya bilali kwani ana kazi ipi nyingine...
 
Natumai huko alikoenda pia alitembeza bakuli la misaada,mwenye data atuambie kapata ahadi gani ya msaada?
 
Na mbona Mizengo Pinda ameweka mikono kwa adabu zote kulikoni? Halafu mapokezi haya mpaka mkuu wa majeshi nchini nae yuko hapo? Tobaaa!:A S 13:

hivi dar ni baridi kiasi cha Bilali na Pinda kuvaa mablanketi?
 
avatar31744_6.gif
 
Back
Top Bottom