Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
LONDON - FEBRUARY 23: Delegates pose for a group photo during the Somalia Conference at Lancaster House on February 23, 2012 in London, United Kingdom. Britain's Prime Minister David Cameron has invited US Secretary Of State Hilary Clinton, UN Secretary General Ban Ki Moon and representatives from over 40 governments to participate in the London Conference on Somalia, to discuss the rebuilding of Somalia and the tackling of piracy, terrorism and famine.
My Take:
Please look at the picture carefully and if you are lucky you may be able to spot our dear JK.
He is in the THIRD ROW back in the non essential invitees, while Kibaki and Museveni have stayed their ground in the front row.
Je najiuliza , ilikuwa lazima kwenda huko kama hakuna mchngao wowote wala umuhimu wowote.
THIRD ROW BACK nafikiri ni kujidhalilisha na kudhalilisha Watanzania.
Hata kwa mambo madogo duniani Tanzania tulikuwa tunajulikana sana kwa msimamo unaoeleweka na dhabiti.
Kikao hiki cha Somalia, THIRD ROW ingemfaa zaidi Waziri Membe.
Mkuu kwa political and diplomatic clout hatuwezi kuwa sawa na Burundi.Mkuu mbona namuona President Pierre Nkurunzinza yupo mstari wa nne. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Burundi ina majeshi yake huko Somalia kama sehemu ya Majeshi ya Afrika (UNISOM) ina maana kwa Nkurunzinza kusimama mstari wa nne basi alikuwa ni non essential invitee?
Mkuu mbona namuona President Pierre Nkurunzinza yupo mstari wa nne. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Burundi ina majeshi yake huko Somalia kama sehemu ya Majeshi ya Afrika (UNISOM) ina maana kwa Nkurunzinza kusimama mstari wa nne basi alikuwa ni non essential invitee?
Mkuu kwa political and diplomatic clout hatuwezi kuwa sawa na Burundi.
Tatizo letu ni sawa na la Goodluck Jonathan (Nigeria), vile vile Third Row, ambaye Boko Haram wanamwendesha.
Tatizo langu ni JK kwenda huko wakati hana contribution ya maana, san sana ni kufikisha quorum kazi ambayo ingeweza kufanywa vizuri sana na Waziri Membe.
Somalia na tanzania ni nchi jirani kwa ukanda wa bahari, meli za kisomali(maharamia) zimeshafukuzwa pwani ya dsm mara kibao, tanzania na south africa na mozambique zimeingia mkataba wa kupambana na wasomali. Tz ni nia ya wasomali kupita. pale mtaa wa kongo dsm kuna wasomalia kibao tena wanaongea kiswahili kukushinda wewe mzawa.
LONDON - FEBRUARY 23: Delegates pose for a group photo during the Somalia Conference at Lancaster House on February 23, 2012 in London, United Kingdom. Britain's Prime Minister David Cameron has invited US Secretary Of State Hilary Clinton, UN Secretary General Ban Ki Moon and representatives from over 40 governments to participate in the London Conference on Somalia, to discuss the rebuilding of Somalia and the tackling of piracy, terrorism and famine.
My Take:
Please look at the picture carefully and if you are lucky you may be able to spot our dear JK.
He is in the THIRD ROW back in the non essential invitees, while Kibaki and Museveni have stayed their ground in the front row.
Je najiuliza , ilikuwa lazima kwenda huko kama hakuna mchngao wowote wala umuhimu wowote.
THIRD ROW BACK nafikiri ni kujidhalilisha na kudhalilisha Watanzania.
Hata kwa mambo madogo duniani Tanzania tulikuwa tunajulikana sana kwa msimamo unaoeleweka na dhabiti.
Kikao hiki cha Somalia, THIRD ROW ingemfaa zaidi Waziri Membe.
Ndiyo nasema kazi hiyo anaweza kuifanya Membe at a cost benefit advantage, kwa hivi sasa tuna expose our lack of diplomatic clout kwa kumpeleka Mh Rais kwa mambo ambayo hana mchnga wa dhariri.Ilikua muhimu JK kuhudhuria ktk mkutano huo. Watanzania wenzangu tutambue kwamba Somalia yenye vurugu inasababisha eneo lote la Afrika Mashariki kukosa amani na kuathiri uchumi.
mkuu unajibishana na taahira wa nini. kwake hata mistari inamatter.Mkuu mbona namuona President Pierre Nkurunzinza yupo mstari wa nne. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Burundi ina majeshi yake huko Somalia kama sehemu ya Majeshi ya Afrika (UNISOM) ina maana kwa Nkurunzinza kusimama mstari wa nne basi alikuwa ni non essential invitee?
Huu ndo tuaita umbumbu wa diplomasia na protokali,hata Rais wenu akidharauliwa ugenini watu mnachekelea kama mataahira wa ukweli.mkuu unajibishana na taahira wa nini. kwake hata mistari inamatter.
Kwa wale mliokuwa mkifikiri nafanya utani na analysis ya picha hii hebu mjipatie copy ya gazeti la East African ya leo tar 27 Feb 2012. Page 6, body language ya picha.