Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
Ndugu zangu, kila kukicha mambo yanabadilika, nimekuwa nikifuatilia haya matamko wanayotoa hawa ndungu zetu waislam..... nikafanya upembuzi yakinifu yakuwa wayasemayo ni kweli yanatoka kwenye nafsi zao? ama wanatumika ilikulinda maslahi ya watu fulani fulani hivi....
nikagundua mambo makuu yafuatayo
1> hawandugu zetu wanatumika kwaajili ya uchaguzi wa 2015 bila wao kujijua wakidhani wanaidhohofisha CHADEMA kumbe ndivyo sivyo, wanaiangusha ccm
taarifa juu ya hili: nikwamba wanawavuruga viongozi wa ccm wa bara ambao wanania ya kugombea 2015, ili ikifika kipindi hicho kusiwe na muafaka badala yake wamtoe rais kwa upande wao kutoka zanzibar ili wakose wote, hizi ndizo mbinu zitumikavyo sasa ilikupata , Rais wa ccm kutoka visiwani.
NI HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA, KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU....