Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,899
Ni kweli tusubiri Je Waziri wa Sheria,Polisi na Mahakam Vitawajibika katika kutekeleza Agizo la Mheshimiwa Mkuu Rais J.Kikwete? au watapuuza Agizo la Rais?Tusubirie utekelezaji.
Prof Kapuya ni kam nani asiweze kukamatwa Mkuu? Umemsikia Mkuu wa nchi Rais J.Kikwete anavyosema katika Thread hapo juu?Ni porojo tu. CCM ni chama cha vibaka wanaolindana na wala hakuna atakayemkamata Kapuya!
Mkuu Hakutatokea Kiongozi Shujaa,shupavu na mpenda nchi yake kama Mwalimu Nyerere Mungu amuweke pema peponi. Waliobakia karibu wote ni Viongozi wasanii tu kaka.Maajabu Hivi Polisi Oster Bay Nao Si Watuhumiwa? Inakuweje Afungue Kesi Pale Dogo Hayupo Serious Na Hili Swala. Emirate Degree Nae Waajabu Sana, Siku Ngapi Sasa Hajamshika Kapuya, Au Kale Kakauli Ka Watoto Wetu Wanauza Madawa........ Napendaga Kusema NYERERE WENGI HATUKUFANANA NAE!
Ni kweli tusubiri Je Waziri wa Sheria,Polisi na Mahakam Vitawajibika katika kutekeleza Agizo la Mheshimiwa Mkuu Rais J.Kikwete? au watapuuza Agizo la Rais?
Prof Kapuya ni kam nani asiweze kukamatwa Mkuu? Umemsikia Mkuu wa nchi Rais J.Kikwete anavyosema katika Thread hapo juu?