Inatia matumaini jamani ngoja tusubirie uenda udhaifu wa mr fastjet ukaanza kupungua kutokana na hili suala.
Inatia matumaini jamani ngoja tusubirie uenda udhaifu wa mr fastjet ukaanza kupungua kutokana na hili suala.
KUBAKWA:Labda sijui sifaham sawia. Watu wanaobakana wanakuwa na maelewano ya wapi wakutane?Naomba kupata tafsiri sahihi
Ni kweli tusubiri Je Waziri wa Sheria,Polisi na Mahakam Vitawajibika katika kutekeleza Agizo la Mheshimiwa Mkuu Rais J.Kikwete? au watapuuza Agizo la Rais?