JK Amteua Mjomba wa Vicky Kamata kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Status
Not open for further replies.
je angemteua Kaka yako? Ungeongea? Hizo ni chuki zilizopitiliza kiasi. Hata kama una ushaidi ni mjomba wake,ilo halituhusu wa-tz,tunachohitaji ni utendaji kazi. Hatutaki kujua mahusiano ya watu.
Ukiamka niambie ili nikupashe habari naona bado umelala.
 
Yaani JK Kwa kupenda tigo simuwezi..anapenda sana ngono zembe huyu jamaa..sijui walimchaguaje huyu kicheche kutoka bagomoyo..
 
kaona bmw haitoshi sasa anaweka wakwe zake anaendesha utawala wa kifalme au kichifu?
 
Cha msingi ni vigezo,hata kama mheshimiwa amekula kiboga kwa vicky.!!bado mteuliwa anaendelea kuwa na stahiki yake kama watanzania wengne
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.
 
Jmani mwenye CV ya huyo mkuu wa mkoa mpya aimwage hapa ili angalau tuone background yake kabla hatujamhukumu kwa utendaji wake maana pia cv na utendaji wa mtu vinawezatofautiana
 
Ni engineer,kabla alikuwa mkuu wa wilaya..kama nimekosea mnisahihishe

ni kweli alikuwa dc kilombero na alistahili promosheni kwani ni mchapakazi sana!uchapakazi wake anastahili.....kiongozi yeyote mchapakazi apewe moyo ht akiwa msagaji!
 
attachment.php
 
ulitaka amteue RAIS WA MASHAROBARO AU DIAMOND AWE MKUU WA MKOA???KAMA PENZI ANATOA VICKY KWA NINI NDUGU WASILE MATUNDA YAKE BANA NA WEWE TAFUTA NDUGU NAE AKALE MEMA YA NCHI KAMA ATVUMILIA[/QUOTE]

Ehhhhhhhhhh,
kwa wasio na NA DADA AU WATOTO WAKIKE?
WAENDE WENYEWE AU?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom