JK alipowatembelea Wahanga enzi zake!

JK alipowatembelea Wahanga enzi zake!

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
Baniani mbaya kiatu chake dawa, sio haba JK hakusita kutembelea wananchi walipopatwa na majanga.
3a.jpg

1.JPG

D92A5357.jpg

D92A0789.JPG

D92A0919.JPG
 
huu ndo unaitwa uchochezi! sasa hapo unamsema nani sasa!!



Ila tuache utani! Hivi zile semina elekezi Zilifutwa?


ok! kubana matumizi!!
Wengine ni wazoefu, mtaelekezana huko huko kazini..
 
Acheni ujuha sio kila jambo lazma Rais awepo physically, wanaweza kuwapo wengine on behalf of President na mambo yakaenda
 
Kipindi JK anaudhuria misiba, majanga.. Pia mlimsema sana.. Nakudai kua anaomba majanga yatokeee.. Leo tena hivyo hivyo... Mna Ndimi mbili.. Lowasa fisadi sasa hivi Lowasa sio fisadi
 
Kipindi JK anaudhuria misiba, majanga.. Pia mlimsema sana.. Nakudai kua anaomba majanga yatokeee.. Leo tena hivyo hivyo... Mna Ndimi mbili.. Lowasa fisadi sasa hivi Lowasa sio fisadi
Patamu hapo
 
Toka nimeanza kufuatilia taarifa za hao wahanga kwenye vyombo vya habari sijamsikia hata mmoja akitaka kutembelewa na rais.

Kilio chao ni mahitaji siyo sura ya rais.
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa, sio haba JK hakusita kutembelea wananchi walipopatwa na majanga.
3a.jpg

1.JPG

D92A5357.jpg

D92A0789.JPG

D92A0919.JPG
Nikikumbuka watu walivyomtukana JK kabla ya Oct 2015 na wanavyomkumbuka hivi sasa naishia kucheka tu ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom