JK alipowatembelea Wahanga enzi zake!

JK alipowatembelea Wahanga enzi zake!

Toka nimeanza kufuatilia taarifa za hao wahanga kwenye vyombo vya habari sijamsikia hata mmoja akitaka kutembelewa na rais.

Kilio chao ni mahitaji siyo sura ya rais.
Maneno yako ya taarabu unamwambia nani? Kuwa kama mwanaume
 
Lakini sio siri,sasa hivi ukimfuata yule mbunge wetu wa Kibamba ukimuuliza vipi unaonaje kama yule jamaa alikuwa ni dhaifu au ........ atakata kuwa hakumsema wa Msoga,ila alimtabiri huyu wa sasa wa kutoka Chatu kuwa ndio atawafanya wao kuwa dhaifu.
 
Sina tatizo na JPM kwenda au kutokwenda ila mbona misaada Bado haiwafikii wahanga hadi Leo. Watu bado wanalala nje. Kuna urasimu mahala fulani kwenye hii michango
Tunabana matumizi mkuu na pesa tunazikumbatia ili matajiri watoe walizozificha maana wengi hawawezi kuongea
[HASHTAG]#MunguTuacheTufe[/HASHTAG]
 
Sina tatizo na JPM kwenda au kutokwenda ila mbona misaada Bado haiwafikii wahanga hadi Leo. Watu bado wanalala nje. Kuna urasimu mahala fulani kwenye hii michango
JPM ni nani? Au unamaanisha John Pumba Maharage?
 
daah tatzo ni je yale mamisaada yanawafika hao wahanga lakn au ndo kuna ziara za kushtukiza zinafanyika kabla hata misaada ijafka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom