jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea mabwaya yajae alianza kutabsamu na alipofikia kutaja mgao akacheka kwa nguvu mapka mishipa ikamtoka usoni ,na kwa mshangao viongozi wa dini nao wakac heka kwa nguvu ,sijui walichekeshwa au walimcheka! Cha kusikitisha ni ile hali ya kucheka akilitaja janga kuu linalorudisha nyuma uchumi wetu .....Ni hulika gani hiii ya kuchekacheka pasipo stahili! au ana ugonjwa wa kucheka ,au kujichekesha,au kuchekacheka!