JK alipokuwa akichekelea mgao wa umeme jana!

nilimtazama alipokua ana kenua, honestly i was very surprised on top of that wakati waziri wake wa fedha mwenye asili ya Lilongwe alipokua akisaini makubaliano ya mkopo ya dola 25o mil ati aki kiri kua hizo hela zitaliwa na wachache akasema "unajua hapa bongo, lazima kitu kama hicho kitokee" i was extreemly shocked, waziri wa fedha anasema hivyo, aixee!!

Nimependa sana huo msamiati hapo kwenye rangi ya majani.
 
GO9G0875.JPG
Yawezekana aliwaalika kuwaomba msamaha pale alipowakashifu eti wanauza madawa ya KULEVYA!, yawezekana pia aliwaomba wamwombee msamaha kwa Mapadri na Maaskofu kwa kuwatusi live. Imekula kwake!.
 
Jamaa yetu nchi imeshamponyoka kilichobaki anaangalia itaangukia wapi, hana majibu katika maswali magumu mnayouliza hapa.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Ayaondoe magamba TANESCO kwani wanatumiwa na Richmond/Dawans/Symbion kumkwamisha aonekane ameshindwa.Afumue TANESCO na Wizara ya Nishati na Madini kama mambo hayajabadilika.JK sikia maoni yetu yakusaidie kuondoa matatizo ya umeme na usicheke kabisa na wezi/mafisadi/magamba.
 
Mi nadhani hao viongozi walikuwa wanamcheka. Au walikuwa wanafurahia kualikwa kwenda kula mema ya nchi na Mz
 
JK ni mnafiki kupindukia,hivi wa tz tutategemea mvua mpaka lini kuzalisha umeme!hivi hakuna kweli wabunifu wa kubuni njia mbadala ya kuondoa hii kero na adha wanayopata wananchi kweli!!!Rais au kiongozi gani huyu asiyekuwa mbunifu kutatua matatizo ya chi yake!!!!Nilimcheki jana,nilishikwa na hasira mpaka nilibadilisha chanel ya kuangalia.I hate hate hate


haya ndo matatizo ya kuweka viongozi wakubwa kama ngazi ya urais ,kwa kuangalia vikabila vidogo badala ya kuangalia uwezo wa mtu!!!!
what a rubbish ccm???

"changes begins wt u"
 
Jk kaharibu usiku wangu jana, eti viongoz wa dini wapo karibu na mungu, waombe amani, maendeleo, waombe mvua inyeshe>mabwawa yajaye> mgao uishe. Kuna unafika najuta kuwepo tz chini ya huyu mtu.
 
jamani katika sherehe yeyote bila kicheko hiyo siyo sherehe. Lazima tutofautishe kati ya sherehe na msiba. Kama JK angecheka msibani kicheko hicho, mimi ningeshangaa sana . Ila kucheka shereheni, RUKHSA! katika hiyo picha nimeguswa sana na sheepesh smile ya sister aliye wa pili kushoto kwa raisi.

Maana kaonesha haibu za kike za hali ya juu sana mpaka anajishika Gauni!!! Halafu kinachofurahisha zaidi katika hiyo picha utaona masister wawili kulia kwa raisi wana pozi za guts sana na hawana haibu za kike, wa kushoto wote wana onesha haibu za kike!

Yaani picha hii nimeipenda mpaka nimeiweka katika maktaba yangu basement!
 
Mbona siwaoni hao Viongozi wa Dini!! Wanawake huwa wanaongozwa na si Kuongoza... ndio mana alikuwa anawacheka!
 
jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea mabwaya yajae alianza kutabsamu na alipofikia kutaja mgao akacheka kwa nguvu mapka mishipa ikamtoka usoni ,na kwa mshangao viongozi wa dini nao wakac heka kwa nguvu ,sijui walichekeshwa au walimcheka! Cha kusikitisha ni ile hali ya kucheka akilitaja janga kuu linalorudisha nyuma uchumi wetu .....Ni hulika gani hiii ya kuchekacheka pasipo stahili! au ana ugonjwa wa kucheka ,au kujichekesha,au kuchekacheka!
<br />
<br />


Kwani mkuu umesahau kwamba huu ndo mwezi wake wa kudondoka dondoka??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom